Suluhisho kwa wafugaji wa Kuku chotara

Suluhisho kwa wafugaji wa Kuku chotara

sele255

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
205
Reaction score
262
Kheri ya mwaka mpya kwa wafugaji wote.

Kumekuwa na changamoto nyingi wanazopitia wafugaji hususani kipindi cha kuanza ufugaji wao wa mara ya Kwanza. Changamoto hizi huchangiwa na kutokuwa na elimu sahihi ya ufugaji au taarifa sahihi kuhusu ufugaji.

Haya yote husababisha mfugaji huyu kupoteza kuku kutokana na kutochukua hatua sahihi na kupelekea wengi kukata tamaa na ufugaji wa Kuku.

Kutokana na changamoto hizi tumekuja na utaratibu maalum ambao utamnufaisha kila mfugaji atayenunua vifaranga wa Kuku chotara kutoka kwetu.

Kila mfugaji atayenunua vifaranga atapata huduma ya ushauri kwa kipindi chote atachokuwa akikuza vifaranga mpaka kipindi cha mauzo.

Faida mfugaji atazopata ni pamoja ;
-Ushauri kuhusu Banda
-Ushauri kuhusu chanjo
-Ushauri kuhusu chakula
-Ushauri kuhusu magonjwa

Hivyo kila mfugaji atayeingia atapata huduma zote hizo bure na kwa muda wowote kwa masaa 24 mpaka Kuku wake watakapokuwa tayari kwa mauzo.

Kwa wafugaji walio tayari Bei zetu za vifaranga Chotara (Kuroiler/Sasso) ni Tsh.1500 kwa kifaranga. Delivery kwa Dar es salaam ni bure.

Kwa huduma na ushauri
+255765696086 (call/sms/WhatsApp)
 
Guys nahitaji kuweka order au kununua vifaranga 100 kwa bei ya sh 1000 kila kimoja, nahitaji vifaranga specifically vya Kuroila, ila kama hivyo havipo bhas tutazungunza kuhusu vilivyopo, kama Kuna mtu anavyo anitext directly please! NIPO MOROGORO.
 
Vipo kuroiler f1 bei 1600 morogoro unaletewa
 
Labda wa kienyeji pure naweza kukuuzia mimi, nina vifaranga wa kienyeji kama 130 hivi, ila bei yako sas ndogo sana angalau ungetoa 1300
 
Guys nahitaji kuweka order au kununua vifaranga 100 kwa bei ya sh 1000 kila kimoja, nahitaji vifaranga specifically vya Kuroila, ila kama hivyo havipo bhas tutazungunza kuhusu vilivyopo, kama Kuna mtu anavyo anitext directly please! NIPO MOROGORO.
Hamna kifaranga wa Tsh.1000 utauziwa vijogoo kisha uje kulalamika hapa
 
Guys nahitaji kuweka order au kununua vifaranga 100 kwa bei ya sh 1000 kila kimoja, nahitaji vifaranga specifically vya Kuroila, ila kama hivyo havipo bhas tutazungunza kuhusu vilivyopo, kama Kuna mtu anavyo anitext directly please! NIPO MOROGORO.
Naweza kuku dm mkuu ?kuna kitu nataka kijifunza
 
VUNJA BEI: KUANDAA HESABU ZA KODI za makampuni; USAJILI WA MAKAMPUNI dakika za mwisho hizi..!!
 
Back
Top Bottom