naomba kuwakaribisha wanaopenda kujisaidia na kusaidiwa wanapokwama ili wainuke. ni wakati wa kuzungumzia namna ya kujinasua kwenye kilio cha ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo vikuu.
kwa mtazamo wangu; nayaona yafuatayo yakifanyika kwa hakika ni suluhisho la kudumu kwa ajira kwa vijana.
1. project plan kwa wanafunzi wote.
mimi ni mwanafunzi wa fan ya udaktari mwaka wa tano.
nimeziona fursa zipo vyuoni ambazo mwanafunzi anaweza kuzitumia kuwin maisha ikiwa tuu mfumo rasmi utaandaliwa. kila mwanafunzi huwa anafanya research ili agraduate. km kuna wasiofanya hivo basi ninachokipresent hapa kinaweza kusaidia pia.
uandaliwe utaratibu kwamba kila graduate watengeze project kabla ya kuhitimu kwa groups mf. watu 5 ambazo watazifanyia research kuona namna zinavotekelezeka na kutoa majbu kabla ya kufanya mitihani ya mwisho. project iwe na uwezo wa kuajiri watu zaidi ya 20. ambayo zitakaguliwa na kuhakikiwa na research commettee za vyuo husika.
2. mifuko ya jamii, benk ya vijana, benk ya wanawake na wizara ya ajira
hawa wawe wadau wakubwa wa kusaidia peoject hizi. wanaweza kutoa mkopo na ufadhili usiokuwa na mashart magumu chini ya usimamizi wa wizara ya ajira na vijana. na hivyo wanafunzi wanaohitimu badala ya kuingia mitaani kutafta ajira ile siku ya kuhitimu wanakadhiwa vyeti vya uhitimu na ufadhili wa project zenye kinga kisheria chini ya wizara ya ajira na vijana.
3.wanafunzi wenyewe.
wanafunzi wafundishwe namna ya kuibua project zenye mashiko na iwe sehemu ya kufanya kama asignment zenye mchango fulani kwa max za mitihani.
faida
wale wenzangu wanohitimu elimu ya msingi na sekondari na kukosa nafasi ya kuendelea kusoma na ajira basi wanaofanikiwa kuendelea watakuwa wanarudisha fadhila kwa wenzao kwa kuwajiri.
4. kurasimisha umachinga kuwa ajira inayotambuliwa na serikali. wote tunafahamu namna vita ya machinga na miji yetu mikubwa inavyoendelea
hapa namaanisha
yatambuliwe rasmi maeneo wanayofanyia biashara. watengezewe shelf na mamlaka nilizotaja hapo juu. shelf yaweza kuwa mita mbili urefelu na upana. kisha inakodishwa kwa machinga wote. ambapo mfano kila mmoja anaweza kuambiwa atalipia tsh. 1000 kwa wiki. kisha anakabidhiwa eneo afanyie biashara anayoitaka yeye. anapewa mamlaka ya kuzuia mtu kuweka bidhaa ya kupanga chini mbele au nyuma ya biashara yake, na kwamba ni maruku kukuta uchafu mbele au nyuma ya.biashara yake. kwa vile vibanda au shelf hizi zinaweza kuhamishika. basi km mamlaka za miji zitataka kuongeza upana wa barabara basi vibanda vinarudishwa nyuma na biashara inaendelea. hapo tutakuwa tumeajiri maelfu ya watu ambao wanauwezo wa kujivunia kazi zao japo ni ndogo.na vita na machinga itakuwa imekwisha kabisa
asante nawasilisha.