suluhisho la ajira kwa wahitimu vyuoni, hili hapa.

msigejb

Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
51
Reaction score
6
naomba kuwakaribisha wanaopenda kujisaidia na kusaidiwa wanapokwama ili wainuke. ni wakati wa kuzungumzia namna ya kujinasua kwenye kilio cha ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo vikuu.
kwa mtazamo wangu; nayaona yafuatayo yakifanyika kwa hakika ni suluhisho la kudumu kwa ajira kwa vijana.

1. project plan kwa wanafunzi wote.
mimi ni mwanafunzi wa fan ya udaktari mwaka wa tano.
nimeziona fursa zipo vyuoni ambazo mwanafunzi anaweza kuzitumia kuwin maisha ikiwa tuu mfumo rasmi utaandaliwa. kila mwanafunzi huwa anafanya research ili agraduate. km kuna wasiofanya hivo basi ninachokipresent hapa kinaweza kusaidia pia.
uandaliwe utaratibu kwamba kila graduate watengeze project kabla ya kuhitimu kwa groups mf. watu 5 ambazo watazifanyia research kuona namna zinavotekelezeka na kutoa majbu kabla ya kufanya mitihani ya mwisho. project iwe na uwezo wa kuajiri watu zaidi ya 20. ambayo zitakaguliwa na kuhakikiwa na research commettee za vyuo husika.

2. mifuko ya jamii, benk ya vijana, benk ya wanawake na wizara ya ajira
hawa wawe wadau wakubwa wa kusaidia peoject hizi. wanaweza kutoa mkopo na ufadhili usiokuwa na mashart magumu chini ya usimamizi wa wizara ya ajira na vijana. na hivyo wanafunzi wanaohitimu badala ya kuingia mitaani kutafta ajira ile siku ya kuhitimu wanakadhiwa vyeti vya uhitimu na ufadhili wa project zenye kinga kisheria chini ya wizara ya ajira na vijana.

3.wanafunzi wenyewe.
wanafunzi wafundishwe namna ya kuibua project zenye mashiko na iwe sehemu ya kufanya kama asignment zenye mchango fulani kwa max za mitihani.

faida

wale wenzangu wanohitimu elimu ya msingi na sekondari na kukosa nafasi ya kuendelea kusoma na ajira basi wanaofanikiwa kuendelea watakuwa wanarudisha fadhila kwa wenzao kwa kuwajiri.

4. kurasimisha umachinga kuwa ajira inayotambuliwa na serikali. wote tunafahamu namna vita ya machinga na miji yetu mikubwa inavyoendelea
hapa namaanisha
yatambuliwe rasmi maeneo wanayofanyia biashara. watengezewe shelf na mamlaka nilizotaja hapo juu. shelf yaweza kuwa mita mbili urefelu na upana. kisha inakodishwa kwa machinga wote. ambapo mfano kila mmoja anaweza kuambiwa atalipia tsh. 1000 kwa wiki. kisha anakabidhiwa eneo afanyie biashara anayoitaka yeye. anapewa mamlaka ya kuzuia mtu kuweka bidhaa ya kupanga chini mbele au nyuma ya biashara yake, na kwamba ni maruku kukuta uchafu mbele au nyuma ya.biashara yake. kwa vile vibanda au shelf hizi zinaweza kuhamishika. basi km mamlaka za miji zitataka kuongeza upana wa barabara basi vibanda vinarudishwa nyuma na biashara inaendelea. hapo tutakuwa tumeajiri maelfu ya watu ambao wanauwezo wa kujivunia kazi zao japo ni ndogo.na vita na machinga itakuwa imekwisha kabisa
asante nawasilisha.
 
You are the best great thinker here in JF I ever known.
 
ni sahihi kabisa Dr mtarajiwa, pamoja na udaktari wako tarajiwa lakini una upeo mkubwa katika sekta ya uchumi na utawala/uongozi, keep it up
 
Samahani Dr. asubuhi umekunywa chai? vitafunio ? Ok basi endelea na masomo Dr uje ututibu huku mtaani, hilo tatizo la ajira unaloliongea na solution unazotoa na hizo financing intstitution unazozitaja siyo rahisi kama unavyoliona ukiwa hapo wodini. Linawasumbua hata spain, Greece na mataifa mengine ambako wana heavy mechanized industries na financial institution in place. Nakushauri Dr. kama unaona ume-develop interest ya ku-deal na social-economic problems zilizoko kwenye jamii, basi ukimaliza MD yako jaribu hata kusoma masters ya economics hata kwa evening au distance learning ndio utayaona vizuri hayo matatizo katika cultural and social-economic perspective. Ukitafuta simple solution kwa concrete problems, haukawii kutoa suggestion kama za waziri wetu mkuu aliyejiuzuru Mh. Lowassa pale alipotaka kutuletea mvua kwa tatizo la ukame ambalo yeye hajui limesababishwa na nini. Ni hayo tu Dr.
 
Samahani tena Dr. kuna mfano mwingine nilisahau kukupa, sijui unamfahamu Mwigulu Lameki Madelu Nchemba? yeye ni mchumi wa daraja la I (1st Class economist by GPA) na msomi wa Masters ya uchumi na sasa anasomea PHD ya uchumi. yeye ni Ex-employee wa Central Bank (BOT) na ni mbunge. Ukitaka kujua hilo tatizo la ajira ni multi-factorial and complex, Juzi hapa alikuja na solution aliyoibuni kama mchumi tena akaiandika kwa verified ID kuwa anataka aipeleke Bungeni, My foot!!!! Alisema kutokana tatizo la ajira kushamiri anakusudia kupeleka bungeni hoja ya kwamba vijana wote wasio na ajira waorodheshwe halafu ifanyike sensa serikalini kujua ni nafasi ngapi ZINAKAIMIWA na nafasi ngapi ziko WAZI ili wapewe vijana ambao hawana ajira halafu walipwe POSHO tu au nusu mshahara. Huyu ni mchumi ndio anatowa wazo hili na yeye ameshafanya kazi kwenye Institution kubwa ambayo inasimamia sera za uchumi za taifa hili. Labda nisiende mbali sijui Dr wetu mtarajiwa una maoni gani kwenye hii hoja ya huyu mchumi maana inaelekea wote mnajenga nyumba moja huwezi kumsaidia fito huyu mwenzio amekwama? Au huwezi kui-merge hiyo hoja yako ika-aliegn na hoja ya Mhe.
 
naomba kuwakaribisha wanaopenda kujisaidia na kusaidiwa wanapokwama ili wainuke. ni wakati wa kuzungumzia namna ya kujinasua kwenye kilio cha ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo vikuu.
kwa mtazamo wangu; nayaona yafuatayo yakifanyika kwa hakika ni suluhisho la kudumu kwa ajira kwa vijana.

1. project plan kwa wanafunzi wote.
mimi ni mwanafunzi wa fan ya udaktari mwaka wa tano.
nimeziona fursa zipo vyuoni ambazo mwanafunzi anaweza kuzitumia kuwin maisha ikiwa tuu mfumo rasmi utaandaliwa. kila mwanafunzi huwa anafanya research ili agraduate. km kuna wasiofanya hivo basi ninachokipresent hapa kinaweza kusaidia pia.
uandaliwe utaratibu kwamba kila graduate watengeze project kabla ya kuhitimu kwa groups mf. watu 5 ambazo watazifanyia research kuona namna zinavotekelezeka na kutoa majbu kabla ya kufanya mitihani ya mwisho. project iwe na uwezo wa kuajiri watu zaidi ya 20. ambayo zitakaguliwa na kuhakikiwa na research commettee za vyuo husika.

Kuhusu suala la project plan,sina shida nalo kabisa,lakini kabla hatujafika huko;
Jaribu kujiuliza ni wanafunzi wangapi wanahitimu kila mwaka..??
Ni nani ataweza kufund pesa yake seheme ambayo not or less safe...??
Kuwa na projects tofauti tofauti, baada ya +10yrs hali itakuwaje
.??

2. mifuko ya jamii, benk ya vijana, benk ya wanawake na wizara ya ajira
hawa wawe wadau wakubwa wa kusaidia peoject hizi. wanaweza kutoa mkopo na ufadhili usiokuwa na mashart magumu chini ya usimamizi wa wizara ya ajira na vijana. na hivyo wanafunzi wanaohitimu badala ya kuingia mitaani kutafta ajira ile siku ya kuhitimu wanakadhiwa vyeti vya uhitimu na ufadhili wa project zenye kinga kisheria chini ya wizara ya ajira na vijana.

Kama hata kuwasomesha hao wanafunzi ni changamoto kwao,je kuwafund itawezekanaje...??

3.wanafunzi wenyewe.
wanafunzi wafundishwe namna ya kuibua project zenye mashiko na iwe sehemu ya kufanya kama asignment zenye mchango fulani kwa max za mitihani.

Okey,projects zenye mashiko zikishaibuliwa,kwa wale watakaohitimu baadae watafungua projects zisizo na mashiko..!! Hapa utaturudisha kulekule

faida

wale wenzangu wanohitimu elimu ya msingi na sekondari na kukosa nafasi ya kuendelea kusoma na ajira basi wanaofanikiwa kuendelea watakuwa wanarudisha fadhila kwa wenzao kwa kuwajiri.

Hii inaweza kuwa ngumu kidogo,nahisi most of these projects zitainvolve blue colour jobs,hapa nahisi failures hawatakua na nafasi....!!

4. kurasimisha umachinga kuwa ajira inayotambuliwa na serikali. wote tunafahamu namna vita ya machinga na miji yetu mikubwa inavyoendelea
hapa namaanisha
yatambuliwe rasmi maeneo wanayofanyia biashara. watengezewe shelf na mamlaka nilizotaja hapo juu. shelf yaweza kuwa mita mbili urefelu na upana. kisha inakodishwa kwa machinga wote. ambapo mfano kila mmoja anaweza kuambiwa atalipia tsh. 1000 kwa wiki. kisha anakabidhiwa eneo afanyie biashara anayoitaka yeye. anapewa mamlaka ya kuzuia mtu kuweka bidhaa ya kupanga chini mbele au nyuma ya biashara yake, na kwamba ni maruku kukuta uchafu mbele au nyuma ya.biashara yake. kwa vile vibanda au shelf hizi zinaweza kuhamishika. basi km mamlaka za miji zitataka kuongeza upana wa barabara basi vibanda vinarudishwa nyuma na biashara inaendelea. hapo tutakuwa tumeajiri maelfu ya watu ambao wanauwezo wa kujivunia kazi zao japo ni ndogo.na vita na machinga itakuwa imekwisha kabisa
asante nawasilisha.

Bado sijakubaliana na mawazo yako....
 
Back
Top Bottom