eliakim xavery
Member
- Apr 24, 2015
- 98
- 72
Kitambulisho cha taifa(Nida) Ni moja ya kipande kinachomtambulisha mtanzania au raia wa taifa lolote. Hapa tanzania kumekuwa na changamoto kwenye upatikanaji wake, serikali katika hili ilichelewa kwani kuna watu wazima ambao wana wajukuu wengine wamezeeka hadi kufariki pasipokukipata hata kukiona kitambulisho chao cha taifa lao, japo ilichelewa lakini muda bado upo, serikali inaweza kuboresha namna ya kukipata.
Moja ya njia ya kurahisisha upatikanaji wake ni kuhakikisha vitambulisho vimechapwa vya kutosha ikibidi kila siku vichapwe pasina kuwekwa jina kisha visambazwe katika mahosptali na zahanati zote nchini, kisha kila mtoto atakayezaliwa apate kitambulisho chake ndipo kiwekwe majina yake kamili, hii itasaidia kuhakikisha kila mtoto atakayezaliwa Tanzania anapata kitambulisho chake papohapo, pia itasaidia kuondoa uraia bandia yaani kila atakayekuwa na kitambulisho ni wazi na halali kuwa ni mtanzania halisi aliyezaliwa tanzania, itafanya pia asiyemtanzania au asiye na vigezo apate changamoto kubwa ama asiweze kabisa kukipata kitambulisho kabisa.
Ahsanteni.

Upvote
2