ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna kero kubwa ya Konokono kwa Msimu huu wa masika ukipanda mimea wanakula hasa bamia suluhisho sio kuwamwagia chumvi hutawamaliza kwa jinsi walivyo weng solution ni kumsaka malkia wake.
Iko hivi malkia wa konokono anapenda kukaa kwenye Majani ya migomba ama chini ni mkubwa karibu na uzito wa robo kilo ukimpata mgeuze kwa chini utaiona utando Fulani kama wa spider web Yale ni mayai na anazaa watoto weng sana na ni tiba ya mapunye au utangotango Muweke akutembelee eneo lenye shida unapona kisha muue