Suluhisho la konokono msimu huu wa masika ni kumdhibiti malkia wao

Suluhisho la konokono msimu huu wa masika ni kumdhibiti malkia wao

Kuna kero kubwa ya Konokono kwa Msimu huu wa masika ukipanda mimea wanakula hasa bamia suluhisho sio kuwamwagia chumvi hutawamaliza kwa jinsi walivyo weng solution ni kumsaka malkia wake.

Iko hivi malkia wa konokono anapenda kukaa kwenye Majani ya migomba ama chini ni mkubwa karibu na uzito wa robo kilo ukimpata mgeuze kwa chini utaiona utando Fulani kama wa spider web Yale ni mayai na anazaa watoto weng sana na ni tiba ya mapunye au utangotango Muweke akutembelee eneo lenye shida unapona kisha muue
Unawaamulu watu kuua viumbe bila hatia baada ya kujinufaisha na matibabu kutoka kwao daah😢🤔😭
 
Binafsi huwa napenda viumbe wadogo wadogo wasio na fujo km kobe, konokono, kinyoga nk yaani nikiwakuta ktl himaya yang nataman wasiondoke wabak pale niwe nawaona kila siku ninapoangaza jicho langu
 
Back
Top Bottom