Suluhisho la matatizo ya ualimu ni kuacha ualimu

Hazikutoshi.Una upeo wa kufikiri jinsi ya kwenda haja tu.'Look before you leep'

Asante sana,,upeo wako wa kujua upeo wangu umenithibitishia akutukanae hakuchagulii tusi.
 
Ingawa sikubaliani katika mengi na mtoa mada alosema, ila nadhani imefika mahali Walimu/viongozi wao wasilalamikie tu madai ya malimbikizo yao na madai ya vitu vidogovidogo kama hela za nauli nakadhalika, je hzo bilioni ishirini wanzodai wakilipwa lets say 2moro, je watakuwa na na lakuenda mbele ya media na kusema nini? Nafikiri Walimu wangeangalia kwa upana mkubwa matatizo yao, ambayo mie nadhani haya ni machache kati ya mengi:

1. Mishahara iendane at least na kada nyingine. Mfano mdogo kabisa ni kama huu ambapo Mwl. aliyemaliza chuo kikuu labda kasoma B.ed in arts akiajiriwa katika shule za sekondari huanza na daraja la TGTS D1 wakati mwenzie aliyesoma kozi hiyo hiyo huanza kwa daraja la TGTS E1 ambao wanatofautiana karibia shilingi laki moja.

2. Moja kati ya sifa ya mwalimu kupandishwa daraja ni pamoja na kuongeza kiwango cha elimu. Siku hizi hata usome vipi unabaki katika utaratibu wa kawaida wa kupanda cheo kutokana na mda ulotumika kazini. Mf. Mwl aliyekuwa na diploma mwenye ngazi ya mshahara TGTSC1 akisoma na kupata bachelor ataendelea na mshahara huo huo wakati vijana walio maliza nae bachelor wanakula TGTSD1!

3. Mazingira ya utendaji kazi ni mgumu sana hasa kwa walim walio pembezoni, kuna umuhimu hao kupewa upendeleo maalum mfn wakiamua kujiendeleza serekari ighalimie masomo yao

4. Unaweza kuongezea na za kwako!

Malalika
Sifa ya mtu aliyeelimika ni kama wewe.Unachunguza undani na hoja na kuamua kwa haki.Unafaa kuwa sauti ya walimu.
 
Last edited by a moderator:
mi nakubaliana na mtoa mada!endapo walimu wengi watachange proffesional zao na kwenda kwingine serikali itafungua masikio na kurekebisha hali iliopo ili kumaintaini walim waliobaki.so matatizo yote yataisha.

thanks
 
Malalika
Sifa ya mtu aliyeelimika ni kama wewe.Unachunguza undani na hoja na kuamua kwa haki.Unafaa kuwa sauti ya walimu.
Mkuu LOVED,
Matatizo katika sekta ya Elimu nchini ni tatizo kubwa sana, na ambalo lina tuathiri sisi sote kama taifa pasi kujali itikadi na mitazamo yetu kisiasa.
Tatizo ni je, Wabenzi wanaona matatizo ya elimu kama sisi Makabwera tunavyoyaona na kuyachukulia? Jibu jepesi kabisa ni Hapana.
Nini basi kifanyike? Ni mimi, wewe na yule tupaze sauti zetu kwa ukuu kabisa kama kile kishindo cha wakoma wakati wa Daniel, wenda mshindo huo ukawaamsha wabenzi hao.!
 
Ingawa sikubaliani katika mengi na mtoa mada alosema, ila nadhani imefika mahali Walimu/viongozi wao wasilalamikie tu madai ya malimbikizo yao na madai ya vitu vidogovidogo kama hela za nauli nakadhalika, je hzo bilioni ishirini wanzodai wakilipwa lets say 2moro, je watakuwa na na lakuenda mbele ya media na kusema nini? Nafikiri Walimu wangeangalia kwa upana mkubwa matatizo yao, ambayo mie nadhani haya ni machache kati ya mengi:

1. Mishahara iendane at least na kada nyingine. Mfano mdogo kabisa ni kama huu ambapo Mwl. aliyemaliza chuo kikuu labda kasoma B.ed in arts akiajiriwa katika shule za sekondari huanza na daraja la TGTS D1 wakati mwenzie aliyesoma kozi hiyo hiyo huanza kwa daraja la TGTS E1 ambao wanatofautiana karibia shilingi laki moja.

2. Moja kati ya sifa ya mwalimu kupandishwa daraja ni pamoja na kuongeza kiwango cha elimu. Siku hizi hata usome vipi unabaki katika utaratibu wa kawaida wa kupanda cheo kutokana na mda ulotumika kazini. Mf. Mwl aliyekuwa na diploma mwenye ngazi ya mshahara TGTSC1 akisoma na kupata bachelor ataendelea na mshahara huo huo wakati vijana walio maliza nae bachelor wanakula TGTSD1!

3. Mazingira ya utendaji kazi ni mgumu sana hasa kwa walim walio pembezoni, kuna umuhimu hao kupewa upendeleo maalum mfn wakiamua kujiendeleza serekari ighalimie masomo yao

4. Unaweza kuongezea na za kwako!

Mkuu, Inavyoelekea na wewe ni mwalimu tena nahis wa pembezoni pole sana MWALIMU njoo huku kilimo,mifugo tule MA TGTS YA MAMILION
 
Ighalimie na serekari UFAFANUZI tafadhali! ndo nini vitu hivyo.
 
Mkuu, Inavyoelekea na wewe ni mwalimu tena nahis wa pembezoni pole sana MWALIMU njoo huku kilimo,mifugo tule MA TGTS YA MAMILION

Mkuu Je, yakupasa kuwa Mwalimu tu ndio ujue matatizo ya walimu? Inachekesha eti wewe wa kilimo na Mifugo unayeishi mjini na si PEMBEZONI! Nikung'ate kidogo tu sikio, nimewahi kuwa mwalimu Yes! mie ni MWALIMU. Kunadhambi yeyote? :target: Na kazi nayofanya sasa inanipa nafasi ya kujua mengi yahusuyo elimu kwa upana mkubwa kuliko huyo Bw. Kawambwa.
 
Ha ha ha ha asante kwa kuniuma sikio.kimsingi si lazima uwe Mwl ndo ujue matatizo ya walimu ila ujumbe wako hapo ukisomwa na mwanasaikolojia anajua wewe ni mwalimu na hayo uliyoeleza ni MADHILA unayokumbana nayo.
 
ndio ukweli huo,walimu lazima wafanye maamuzi magumu,nyerere mwenyewe alikimbia
 
Ha ha ha ha asante kwa kuniuma sikio.kimsingi si lazima uwe Mwl ndo ujue matatizo ya walimu ila ujumbe wako hapo ukisomwa na mwanasaikolojia anajua wewe ni mwalimu na hayo uliyoeleza ni MADHILA unayokumbana nayo.

Nilichaandika labda kinauhusiano na kile nilichosomea katika levo ya shahada. Kwa taarifa yako tu, Nimesoma hiyo kitu uloitaja. Pasipo na shaka lolote naamini nawe umepitapita katika kada hii! Ingawa nashangaa Saikolojia inaingiaje katika ma TGTS ya mamilioni ya kilimo na mifugo ambapo unataka kuniaminisha ndipo unapopatia riziki yako ya kila siku! teh teh teh teh anyway tuchape kazi kumkomboa Mwalim au sio NZURI PESA?
 
Mkuu Malalika ni vigumu sana kumkomboa asiyetaka kukombolewa! Nina kitu nilichogundua wanacho walimu na hiko ndo sababu ya wao KUENDELEA KUONEKANA KAMA MAZEZETA WA MAMBO YANAYOWAHUSU!
 
Huo ndo ukweli ka boflo kangu nakapatia kwenye ka wizar ka" KILIMO KWANZA MIFUGO BAADAE"
 
Malalika
Sifa ya mtu aliyeelimika ni kama wewe.Unachunguza undani na hoja na kuamua kwa haki.Unafaa kuwa sauti ya walimu.

Mkuu Mimi nakubaliana na Mawzo yako kwa 80%, na ni kweli si sahihi kwamba walimu wate wakimbie Kazi ya Kufundisha na kwenda kujiajiri au kusoma Kozi zingine.

Mkuu kwanza Kabisa naomba ni kuhakikishie kwamba si kwamba WALIMU ndo wana maisha magumu, ni wafanyakazi wa sekata nyingi sana na wengi ili waishi vizuri ni lazima waibe jambo ambalo si sustainable hata kidogo,

Kujiajiri Ndo sehemu pekee ambayo mtu anaweza kushi kwa amani na ukafurahia maisha yako, Ila kutegemea kazi za kuajiliwa ni Utumwa wa hali ya juu,

MKUU WATU WANAKUPINGA KWA SABABU YA MINDSET ZETU, Kujijili si Utamaduni wa Watanzania ni utamaduni wa Nchi kama Kenya na kazalika,

Kwa Tanzania tunaamini wanao jaijiri ni walio feli shule, waliokimbia Umande, Ila kwa wasomi ni lazima piga ua garagaza mtu aajiriwe

Walimu wanalalamika sana juu ya malimbikizo ya mishahara,madai ya fedha za likizo na migomo yao kutokuwa njia mbadala ya kupata haki zao.Mtazamo wangu ni kuwa ili wajikomboe, wote wanaolalamika waache ualimu waingie sekta nyingine.Mf kwa kuongeza elimu yao,au kwenda ktk biashara.Wengi ambao walikuwa walimu wakaacha kazi hiyo wanakiri kuwa na mafanikio kuliko wale ambao walioanza nao kazi.
Naona jamaa wanakuchana wakati huo ndo ukweli. Na hii ina-apply kwenye kazi zingine pia, kuliko kuendelea kulalamika bora hiyo kazi uipige chini. Yaani mtu mzima anajua ualimu unalipa vipi bado anausomea na anakubali kuajiriwa baada ya hapo anajikita kwenye kulalama badala kufundisha..! Kama kazi unaona haikufai acha, ualimu ni wito..! Naunga mkono hoja 100%.
 
Walimu wanalalamika sana juu ya malimbikizo ya mishahara,madai ya fedha za likizo na migomo yao kutokuwa njia mbadala ya kupata haki zao.Mtazamo wangu ni kuwa ili wajikomboe, wote wanaolalamika waache ualimu waingie sekta nyingine.Mf kwa kuongeza elimu yao,au kwenda ktk biashara.Wengi ambao walikuwa walimu wakaacha kazi hiyo wanakiri kuwa na mafanikio kuliko wale ambao walioanza nao kazi.

Kuacha kazi si suluhisho kwasababu mwalimu ndio kila kitu ktk jamii cha msingi ni kuboresha mazingira aliyokuwa nayo huyu mwalimu.Chukulia kwamba shule zikawa hazina walim unafikiri hata hiyo biashara itafanyika vp ikiwa wahusika hawana elimu...
ELIMU KWANZA MAMBO MENGINE YANAFUATA.
 
Mkuu Malalika ni vigumu sana kumkomboa asiyetaka kukombolewa! Nina kitu nilichogundua wanacho walimu na hiko ndo sababu ya wao KUENDELEA KUONEKANA KAMA MAZEZETA WA MAMBO YANAYOWAHUSU!

Mkuu unatumia lugha ya ukakakasi kutetea hoja nzito. Anyway hayo ndio mazao ya Elimu inayotokana na walimu ulowaita MAZEZETA.
 
Back
Top Bottom