Suluhisho la matatizo ya ualimu ni kuacha ualimu

Ipo siku hii kazi ya ualimu itaheshimika,na ukitaka kujua hilo omba nafasi ya ualimu uone kama utapata kwa uraisi..na kwa taarifa yenu mambo yote katika jamii hutokana na mchango wa mwalimu..mimi na haka kadgree kangu ka elimu..najua ipo siku nitaish well,hivyo kuacha fan ya ualimu sio suluhisho kikubwa ni kujali maslahi yetu walimu...mfano kwenye familia yetu mimi ndie mwalimu..anayefuatia kasomea it,anayefuat yupo cbe pale dodoma na hao wote wametokana na mchango wao mimi kaka yao kutokana na kuwapa mising mbalimbali ya elimu..naupenda ualimu..tuungane kuboresha sekta ya elimu Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…