Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
Wakulima, chondechonde, acheni Mara moja kulialia na gharama za mbolea zennye kemikali kupanda Bei, jifunze kuzalisha mbolea ya asili kwa kutumia mmea wa Comfrey na mimea mingine yenye sifa. Sisi tumeanza kuzalisha na tayari wanaotumia mbolea hiyo wanakiri kwamba inaonesha matokeo chanya.
Uzalishaji wa Miche ya comfrey unaendelea ndani ya Posh Garden. Mche mmoja ukitunzwa vizuri unaweza kukupatia Miche mingine isiyopungua 10 ndani ya siku 90.
Karibu ujifunze ili usaidie wengine kuachana na matumizi ya mbolea za kemikali. Ukishakuwa na Miche ya kutosha unaweza kuisambaza pembezoni mwa shamba lako ikawa msaada wa kuzalisha mbolea na kufukuza wadudu waharibifu.