Suluhisho la Tanzania ni Taasisi imara, badala ya kutegemea Wanasiasa

Milord

New Member
Joined
May 28, 2026
Posts
1
Reaction score
2
Nadhani mabadiliko ya kweli yanaanza kwa kuwa na independent institutions. Hii inamaanisha kuwa na free judiciary ambayo inaweza kutoa haki bila kuingiliwa na wanasiasa, strong anti-corruption body inayoweza kupambana na corruption kwa yeyote bila kujali nafasi yake, na free press inayoweza kuripoti ukweli bila vitisho au shinikizo.

Pia tunahitaji civic education ili wananchi wajue haki zao, wajue serikali inapaswa kuwajibika vipi, na waweze kudai uwajibikaji inapohitajika.

Zaidi ya hayo, ofisi za umma zinapaswa kuwa na sheria na taratibu zilizo wazi, transparency katika matumizi ya fedha za umma, na regular oversight ili kuhakikisha hakuna mtu aliye juu ya law.

Lengo ni kujenga mfumo ambao unafanya kazi bila kutegemea mtu mmoja au kiongozi mmoja. Mfumo ambao hata viongozi wakibadilika, institutions zinaendelea kufanya kazi kwa haki na kwa maslahi ya wananchi.

Hii si kitu kinachotokea kwa siku moja. Inahitaji muda, uvumilivu, na kujenga trust ya wananchi kwa institutions zao. Lakini huo ndiyo msingi wa maendeleo ya kudumu.
 
Baasi , ni vile wanajua kwa hiyo wana zidhoogisha makusudi.

Taasis ikiwa imara wahuni hawatoweza kufnaya mambo yao
 
Nadhani mabadiliko ya kweli yanaanza kwa kuwa na independent institutions. Hii inamaanisha kuwa na free judiciary ambayo inaweza kutoa haki bila kuingiliwa na wanasiasa, strong anti-corruption body inayoweza kupambana na corruption kwa yeyote bila kujali nafasi yake, na free press inayoweza kuripoti ukweli bila vitisho au shinikizo.

Pia tunahitaji civic education ili wananchi wajue haki zao, wajue serikali inapaswa kuwajibika vipi, na waweze kudai uwajibikaji inapohitajika.

Zaidi ya hayo, ofisi za umma zinapaswa kuwa na sheria na taratibu zilizo wazi, transparency katika matumizi ya fedha za umma, na regular oversight ili kuhakikisha hakuna mtu aliye juu ya law.

Lengo ni kujenga mfumo ambao unafanya kazi bila kutegemea mtu mmoja au kiongozi mmoja. Mfumo ambao hata viongozi wakibadilika, institutions zinaendelea kufanya kazi kwa haki na kwa maslahi ya wananchi.

Hii si kitu kinachotokea kwa siku moja. Inahitaji muda, uvumilivu, na kujenga trust ya wananchi kwa institutions zao. Lakini huo ndiyo msingi wa maendeleo ya kudumu.
Nani wa kuanzishwa hayo na kuyasimamia?Kwa chama Hiki tawala,Sahau!
 
CCM watapinga kwa nguvu zao zote. Wenyewe wanaamini kwa mafisadi wao
 
Back
Top Bottom