Suluhisho la tatizo la ajira

Suluhisho la tatizo la ajira

Joined
Mar 8, 2021
Posts
14
Reaction score
7
Japo haitokua 100% solution ya kutatua tatizo la ajira ila njia hii inaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira.

Kila tangazo la watu wanaoomba ajira humu ndani sina shaka kwamba wanamiliki simujanja (smartphone).

Je, vipi kama tukiwa na application ambayo inaweza kuwa sehemu ya watatufutaji ajira kuwa picked and paid kama ilivyo upwork?

Niko nasubiri majibu yenu wakuu
 
Siku chache zilizopita kuna dada alikua anaulizia daktari binafsi ambaye anaweza kwenda hadi kwake kwa ajili ya consultation na huduma ya vipimo vya kawaida. Na sio kwamba hamna madaktari ambao wapo mtaani hawana kazi ila wapo tena wakutosha. Maana yangu ni kwamba tunaweza kupata kiunganishi kama vile application au website ambayo inaweza kuwaunganisha wanaohitaji watu wa kazi na wanaotafuta kazi kwa kila sekta kuanzia madaktari,mainjinia,madereva hadi wafanyakazi wa ndani. Tatizo ni taarifa kati ya pande mbili tukiweza kutatua hili tunaweza kupunguza ukosefu wa ajira hata 2% kwa mwaka polepole tutafika na hadi kufika 2030 angalau tutakua tumepiga hatua
 
Ni vyema serekali ikapunguza umri muda wa kustafuu,ikiwa mtu atafanya kazi miaka 25 Basi apishe alipwe stahiki zake wengine waajiruwe.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hii pia ni njia nzuri lakini sisi kwakua ni waathirika wa kwanza tujisaidie wenyewe kwanza kabla ya serikali kwasababu atakayepitisha swala la watu kustaafu mapema ni watu na haohao wanahitaji kukaa katika hizo nafasi kwa muda mrefu
 
Ni vyema serekali ikapunguza umri muda wa kustafuu,ikiwa mtu atafanya kazi miaka 25 Basi apishe alipwe stahiki zake wengine waajiruwe.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
25 mbona mingi. Miaka15 inatosha kabisa mtu kupata mtaji wa kujiajiri. Tena akiwa bado kijana mwenye nguvu.

Let's say anaajiriwa akiwa na 25yrs akifika 40 anastaafu utumishi wa umma kupisha wengine.

Waanze na wanasiasa mwisho miaka 10 kwa cheo kimoja kama ilivyo Urais. Baada ya hapo wajiajiri.
 
Siku chache zilizopita kuna dada alikua anaulizia daktari binafsi ambaye anaweza kwenda hadi kwake kwa ajili ya consultation na huduma ya vipimo vya kawaida. Na sio kwamba hamna madaktari ambao wapo mtaani hawana kazi ila wapo tena wakutosha. Maana yangu ni kwamba tunaweza kupata kiunganishi kama vile application au website ambayo inaweza kuwaunganisha wanaohitaji watu wa kazi na wanaotafuta kazi kwa kila sekta kuanzia madaktari,mainjinia,madereva hadi wafanyakazi wa ndani. Tatizo ni taarifa kati ya pande mbili tukiweza kutatua hili tunaweza kupunguza ukosefu wa ajira hata 2% kwa mwaka polepole tutafika na hadi kufika 2030 angalau tutakua tumepiga hatua
Wazo zuri sana. Inabidi pawe na app au mtandao wa natafuta.com. Yaani ni mtandao wa mtu anayetafuta huduma au bidhaa yoyote. Dah nimetoa wazo bure. Kama wewe likikufaidisha usinisahau.
 
25 mbona mingi. Miaka15 inatosha kabisa mtu kupata mtaji wa kujiajiri. Tena akiwa bado kijana mwenye nguvu.

Let's say anaajiriwa akiwa na 25yrs akifika 40 anastaafu utumishi wa umma kupisha wengine.

Waanze na wanasiasa mwisho miaka 10 kwa cheo kimoja kama ilivyo Urais. Baada ya hapo wajiajiri.
Sure bro
 
Strategy ya kizamani sana hii, yaani hawa jamaa wanaoshinda kwenye singeli na kubet unafikiri wanajua lolote, kizazi hiki kimeuawa na chama tawala na hakuna chochote ambacho wanaweza kufanya zaidi ya kulewa na mademu, kizazi hiki kimepotea
 
Hili ni tatizo la quality ya population tuliyonayo. Lakini kipindi hicho kuna ambao wapo na willing ya kufanya kazi lakini hawana kazi hao ndipo target ilipo
 
Tatizo hapa ni ajira na sio walioajiriwa.
Nadhani fikra sahihi ni kuzalisha ajira.
Kwenye miaka 40 mtu ndio amekomaa na ana uwezo mkubwa wa kushauri.
Otherwise wataajiriwa watu waibe for 15 years.
 
So kumbe tatizo linakuja kwetu sisi watafuta ajira ndo tumeshindwa kutatua changamoto ya kua na skills zinazoweza kutufanya tuwe qualified kupata ajira sehemu mbalimbali
Ewaa,lakini pia ajira Ni chache sio kama zamani
 
Tatizo hapa ni ajira na sio walioajiriwa.
Nadhani fikra sahihi ni kuzalisha ajira.
Kwenye miaka 40 mtu ndio amekomaa na ana uwezo mkubwa wa kushauri.
Otherwise wataajiriwa watu waibe for 15 years.
Tatizo hapa ni ajira na sio walioajiriwa.
Nadhani fikra sahihi ni kuzalisha ajira.
Kwenye miaka 40 mtu ndio amekomaa na ana uwezo mkubwa wa kushauri.
Otherwise wataajiriwa watu waibe for 15 years.
Nakubaliana na wewe kiongozi. Tukumbuke mtu wa kwanza wa kua responsible ni sisi wenyewe

Ewaa,lakini pia ajira Ni chache sio kama zamani
Even nchi zilizoendelea na countries with tiger economies wana tatizo la ajira lakini 'wanaviside' ambavyo vinaweza kuwapatia chochote kitu. Kuna experience nilipata kwenye baadhi ya vijiji vya Dodoma wao baada ya mavuna ndo basi wanakua unemployed na kipindi hicho kuna vyanzo mbalimbali vya maji ambavyo vinaweza kutumika kwa "irrigation farming". So tujiangalie sisi kwanza tuwe na 'skills' ambazo ni very potential kua competitive sokoni naamini hiki kilio hakitakua kwa kiasi hiki
 
Back
Top Bottom