Suluhisho La Ufaulu Law School : Wachujwe Kabla ya Kudahiliwa (Before Admission)

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
20230427_101326.jpg

Kwanza kabisa ninai blast tume ya Harrison Mwamwembe haikufanya lolote la kusaidia matatizo ya Law School. Mwamkyembe ni FAILURE katika ku deliver issues kama hizi. Kumbuka ripoti yake ya RICHMOND na Treni ya Metro aliyomleta Tapeli Shumake kutoka Chicago

Najielekeza kwenye hoja yangu sasa.

Gharama ya Law School of Tanzania kwa kwa mwanafunzi kwa mwaka Tsh. 3,000,000.

3,000,000 * 821 = 2,463,000,000

Kwenye udahili wa wanafunzi 821, unafaulisha wanafunzi 23 tu, halafu tunaona hii ni sawa?

Kirahisi kabisa tunaindividualize kwa kusema “wanafunzi hawana uwezo” halafu imeishia hapo

Mimi siyo mwanasheria wala sina masilahi, lakini hawa lecturers na management ya Law School wanafanya mzaha na biashara tu

Pendekezo:
Tufanye kama shule za RC (St Francis, Marian etc) ambapo wanaomba 1,000 na kulipia fomu kwa Tshs 10,000 tu halafu kwenye NECTA baada ya miaka 4 unakuta wanafaulu Div 1 na II pekee.

Kwa muktadha huo nashauri uanzishwe mfumo wa entry exam au matriculation exam ambapo watachukua wanafunzi wenye uelewa na wanaofundishika tu. Hii italeta faida zifuatazo:-

1. itaokoa muda na fedha za wanafunzi wanaofeli kwenye mtihani wa mwisho.

2. Lecturers watapata muda wa kutosha wa kufundisha wanafunzi kwa nafasi.

3. Watajuwa kuwa mshahara wao unatokana na kufaulisha wanafunzi hivyo watajituma zaidi ili wapate mishahara itokanayo na karo zao
 
View attachment 2601181

Nimeangalia Canada wanaunganisha ktk mwaka wa mwisho wa mafunzo chuoni. Hata madaktari wakwetu wanafanya hivyo hivyo sielwi ni nini upande wa sheria. Huwezi kuchagua kwani ni ili mradi una degee unatakiwa upate haya mafunzo. WAUNGANISHE KWA VILE HATA LAW SCHOOL HAINA UWEZO WA KUWAPOKEA WAHITIMU WA SHERIA KILA MWAKA.HILI NALO HALIKO SAWASAWA
 
Back
Top Bottom