Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Looooo!!!! kweli aiseeee.... na wale watu wenye vitambi vya nguvu pia watafaidika sana na exipiriensi yake!!!! Hahahahaa
ha haaaaa, tena huyo nahisi kama itamfaa kabisa, anaweza kutupa his own experience, lol!
 
Samahani mkuu tunaomba maelezo kidogo kwenye hili, Unazungumzia nguvu kwa maana ya mwili au kwa maana ya uwezo wa kiume.... maana nalikua najua tu miwa ina sukari ambayo inaleta nguvu mwilini tu... naomba kueleweshwa mkuu juu ya uhusiano wake na nguvu za kiume na kama ukiwepo inatumika kama juice ya kawaida au mtu anakunywa kwenye maandalizi ya tendo au wakati wa tendo au inakuaje.... asante sana.
Ukiweza kula miwa tu inatosha muwa wa mia tani kwa siku inatosha. Au kikombe kimoja cha juice ya miwa miwa ikiyokamuliwa
 
Mkuu EMT hapo kwenye purchases sikanyagi supermarket kwa masuala ya chakula ni kwa mambo mengine tu. masoko yamejaaa vyakula fresh. Samaki ni ferry au naagiza Mwanza. Tumefuga kuku wa kienyeji kwa nyama na mayai. Bustani ya mboga. Ndugu zanguni mkiwa mnajenga tengeneza eneo dogo nyuma ya nyumba kwa bustani na Banda dogo Kama kiwanja ni kikubwa. Tena unapatenga hata haiharibu maandhari ya mazingira ya nyumba. That is tenga hata na fence mzuri ya maua then unaweza kamlango ka kuingilia. All in all afya yako iko mikononi mwako na ukiwa health hutajutia na hutagusa JF kulalamikia afya au underperformance..
 
Mkuu Tized thread uliyoanzisha imekuwa ya neema sana na kama tutazingatia michango ya wadau ndoa na mahusiano yatapona. Binafsi nimejifunza pia mengi hapa. Blessed who spared his or time to share or read and practice.
 
Chakula bora pia ni kitu muhimu. Hasa hasa protein katika chakula. Kwa hiyo sio mbaya kutumia nutritional supplements kwa sababu vyakula vyetu siku hizi hasa mjini havina virutubisho sahihi. Kuna virutubisho vizuri sana kutokana na mizizi ya mmea wa Maca ambao toka zama za kale unajulikana kusaidia kutuliza msongo wa mawazo, kuupa mwili nguvu na kuwa na msaada mkubwa sana kwa wake kwa waume kwenye masuala ya uzazi na tendo la ndoa. 0713826805 unaweza kuwasiliana kufahamu zaidi kuhusu hivi virutubisho maana ni msaada mkubwa
 

Hope everlenk atakuwa ameisoma hii.
 
Last edited by a moderator:
Napita tuu coz wangu anapiga show hadi nasogelea FENI kupoe...

************************************


 
Wooo!!! illuh enjoy your company...... Endelea kumtunza vizuri.
Napita tuu coz wangu anapiga show hadi nasogelea FENI kupoe...

************************************
 
Last edited by a moderator:
Tunakushukuru sana pia Mkuu Zogwale kwa mchango na hekima zako hapa, tumejifunza sana kutoka kwako.

Natamani kila mtu aweze kuyasoma mlio andika hapa wazidi kupata ufahamu.

Many thanks mkuu.
Mkuu Tized thread uliyoanzisha imekuwa ya neema sana na kama tutazingatia michango ya wadau ndoa na mahusiano yatapona. Binafsi nimejifunza pia mengi hapa. Blessed who spared his or time to share or read and practice.
 
Last edited by a moderator:
Tunakushukuru sana Mkuu mwakabhuta kwa ushauri wako, Naamini pia wengi watakutafuta kupitia mawasiliano yako hapa chini.

Tukuombe kama ukijaliwa fursa utushirikishe zaidi kuhusu hivyo virutubisho na upatikanaji wake maana najua sio wote wataweza kukutafuta kwanza... Naamini kwa nia yako njema utatudadavulia ulionayo mkuu.

Shukrani sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…