Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Bibie kungu Manga! Ukizijuwa namna ya kutumia basi nyumba yako itatulia hakuna cha nyumba ndogo wala kibustani hapo.

attachment.php

Asante sana MziziMkavu unanihamasisha sana,hili ntalifanyia Kazi soon
 
Last edited by a moderator:
Looooo!!!! kweli aiseeee.... na wale watu wenye vitambi vya nguvu pia watafaidika sana na exipiriensi yake!!!! Hahahahaa
ha haaaaa, tena huyo nahisi kama itamfaa kabisa, anaweza kutupa his own experience, lol!
 
Samahani mkuu tunaomba maelezo kidogo kwenye hili, Unazungumzia nguvu kwa maana ya mwili au kwa maana ya uwezo wa kiume.... maana nalikua najua tu miwa ina sukari ambayo inaleta nguvu mwilini tu... naomba kueleweshwa mkuu juu ya uhusiano wake na nguvu za kiume na kama ukiwepo inatumika kama juice ya kawaida au mtu anakunywa kwenye maandalizi ya tendo au wakati wa tendo au inakuaje.... asante sana.
Ukiweza kula miwa tu inatosha muwa wa mia tani kwa siku inatosha. Au kikombe kimoja cha juice ya miwa miwa ikiyokamuliwa
 
Baadhi ya walio na kipato pia wanaongoza kwa kuwa na afya mbaya bila kujijua.

Still I don't get it mtu anaenda supermarket kununua samaki wa maboksi kutoka South Africa wakati anaweza kupata samaki fresh pale magogoni na kwingineko.

Au sijui mtu anaenda kununua matunda kutoka nje kwenye supermarket wakati anaweza kununua matunda fresh sokoni Kariakoo.
Mkuu EMT hapo kwenye purchases sikanyagi supermarket kwa masuala ya chakula ni kwa mambo mengine tu. masoko yamejaaa vyakula fresh. Samaki ni ferry au naagiza Mwanza. Tumefuga kuku wa kienyeji kwa nyama na mayai. Bustani ya mboga. Ndugu zanguni mkiwa mnajenga tengeneza eneo dogo nyuma ya nyumba kwa bustani na Banda dogo Kama kiwanja ni kikubwa. Tena unapatenga hata haiharibu maandhari ya mazingira ya nyumba. That is tenga hata na fence mzuri ya maua then unaweza kamlango ka kuingilia. All in all afya yako iko mikononi mwako na ukiwa health hutajutia na hutagusa JF kulalamikia afya au underperformance..
 
Mkuu Tized thread uliyoanzisha imekuwa ya neema sana na kama tutazingatia michango ya wadau ndoa na mahusiano yatapona. Binafsi nimejifunza pia mengi hapa. Blessed who spared his or time to share or read and practice.
 
Chakula bora pia ni kitu muhimu. Hasa hasa protein katika chakula. Kwa hiyo sio mbaya kutumia nutritional supplements kwa sababu vyakula vyetu siku hizi hasa mjini havina virutubisho sahihi. Kuna virutubisho vizuri sana kutokana na mizizi ya mmea wa Maca ambao toka zama za kale unajulikana kusaidia kutuliza msongo wa mawazo, kuupa mwili nguvu na kuwa na msaada mkubwa sana kwa wake kwa waume kwenye masuala ya uzazi na tendo la ndoa. 0713826805 unaweza kuwasiliana kufahamu zaidi kuhusu hivi virutubisho maana ni msaada mkubwa
 
Mkuu EMT hapo kwenye purchases sikanyagi supermarket kwa masuala ya chakula ni kwa mambo mengine tu. masoko yamejaaa vyakula fresh. Samaki ni ferry au naagiza Mwanza. Tumefuga kuku wa kienyeji kwa nyama na mayai. Bustani ya mboga. Ndugu zanguni mkiwa mnajenga tengeneza eneo dogo nyuma ya nyumba kwa bustani na Banda dogo Kama kiwanja ni kikubwa. Tena unapatenga hata haiharibu maandhari ya mazingira ya nyumba. That is tenga hata na fence mzuri ya maua then unaweza kamlango ka kuingilia. All in all afya yako iko mikononi mwako na ukiwa health hutajutia na hutagusa JF kulalamikia afya au underperformance..

Hope everlenk atakuwa ameisoma hii.
 
Last edited by a moderator:
Napita tuu coz wangu anapiga show hadi nasogelea FENI kupoe...

************************************


Salaam sana Wakuu

Inavyoonekana siku hizi japo kweli kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume haswa kwa mazingira ya mijini, Lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi imepelekea woga mkubwa kwa baadhi ya wengi wetu.

Ndipo kwenye tafakari yangu nikaona NIANZISHE HUU UZI kwa machache tu kwa ufahamu mchache nilio nao, Ili NIWAALIKE wengi WENU kwa msaada zaidi wa mawazo kwa ndugu zetu wanaokutana na mfadhaiko huu. Nikiamini pia wengi wenu mna utaalamu na mnaoweza kuchambua haya makitu kwa ufanisi zaidi mkatatusaidia sana kwenye uzi huu. Yafaa sasa tujikite kwenye ufumbuzi kuliko kuripoti tatizo na kulaumu. Kadiri tunavyoendekeza kuripoti tatizo tunawaathiri hata wale waliokuwa wazima ambao kwa kuwa hakuna kipimo sawia kujua kipi ni kipi, nao wasiwasi unawafanya wanapoteza ujasiri wao na kujiona wana tatizo kumbe wapo imara sana kuliko mkuki.

Kwa kuanzia yafuatayo yaweza kusaidia kuboresha kulifurahia tendo la ndoa zaidi na kwa muda zaidi.

Kuuweka Mwili vizuri: Ni wazi kuwa tendo hili linachagiwa sana na mzunguko mzuri wa damu. Mwili ukiwa kwenye hali nzuri kiafya na tendo huwa linaenda ipasavyo. Na mwili ukiwa dhoofu basi tegemea tukio dhoofu pia. Hivyo ukitaka kuwa na matokeo mazuri kwenye ndoa yako, jitahidi sana kujiweka vizuri kwa kula sahihi na kufanya mazoezi mepesi mepesi tu kwa wale wanaoweza kuutumia muda vizuri wapiti pite Gym walau siku mbili na kuendelea kwa wiki.

Kufahamu kuwa kupumzika kwa uume baada ya baada kufika mara ya kwanza sio tatizo. Kwa wanaume walio wengi, baada ya mshindo wa kwanza hupumzika kidogo kabla ya kuendelea na awamu nyingine. Japo kuna ambao wana uwezo wa kuendelea moja kwa moja bila kupumzika (law ya use and misuse inahusika kwa wengine apa). Kwa hio kusinyaa kwa uume baada ya mshindo wa kwanza, isifahamike kuwa ni upungufu wa nguvu bali ni ajdustiment ya mwili wenyewe kutokana na kwamba mwanaume kabla ya tendo mapigo ya moyo huongezeka na huchangia damu kwenda kwa kasi, na kwa hali hio anakua yupo juu sana kimhemko, inapofikia anamaliza raundi ya kwanza mwili unakua
unapoa /umesharudi kwenye hali yake ya kawaida, ndiko kunakosababisha hio maneno kusinyaa kwa wengi wakati mapigo ya moyo yanaporudi kawaida (MWILI KUPOA).

Maandalizi ya mwili. Wanaume tupo tayari muda wote… ila linapokua swala ya mwenza wako (kwa kuwa muda unaotumia kwa maandalizi na tendo una uhusiano wa moja kwa moja na satisfaction ya mwenzio)… unahitaji muda angalao nusu saa na kuzidi kujiandaa na mwenzi wako. Kama timu ya mpira inapoenda ugenini huhitaji muda kuzoea mazingira, ndio na mwanaume anavyohitaji muda kuzoea mazingira ya ugenini. Hili linakusaidia sana mwanaume kutoka kwenye mihemko na kurudi kwenye hali yako ya kawaida ambayo itakusaidia kuwa na muda mzuri zaidi wa kufurahia tendo. Jitahidi pia kuvuta pumzi nyingi ndani na uiachie polepole kukusaidia kukuweka kwenye utulivu mzuri.

Timing ya kuanza tendo: Kwa kuwa tendo linahusisha sana hisia za mwili, ukiwa umetumia muda unaotosha kuandaana, basi usiwe na papara mwanzoni, bali uwe na utulivu, pia jitahidi kuzungumza moja mawili wakati unaanza kuzoea mazingira mengine (core business) EPUKA UHARAKA na kuweka sana akili yako hapo, jinafikie mwenyewe kuwa its just a normal thing (mental pride)

Concetration/ Umakini uliopitiliza… Unapaswa kumfanya mkeo aweke akili yake yote hapo, na wewe unatakiwa katika kumuweka mkeo kwenye concentration uuharibu umakini wako (level of concentration). Ukiweka concentration ya juu sana kwenye tendo… haikuchukui dakika mbili umemaliza, na kuirudisha tena ile hali ya concentration uliokua nayo mwanzo itakuwia ngumu sana….. Usiweke sana akili yako hapo kama unataka kufurahia kwa muda zaidi. ila kama hutaki kudumu.. weka akili na umahini wako hapo woote.. just seconds or a minute you are done

MAZOEZI ya mwili ni muhimu sana sana sana sana sana kwetu wanaume. Kama huna muda wa kwenda jimu walau ukiamka piga ‘PUSH-UPS walau 50’’ kila siku na ‘’SQUARTS’’ . haya ni mazoezi mepesi lakini ni BORA zaidi kwa mwanaume. Kwetu sisi wanaume tunatumia sana misuli yetu wakati huu, kwa hio kuna ulazima wa kutafuta ustahimilivu wa misuli ''mussle strength n perseverance''. Hio kitu ni starehe na unatakiwa baada ya tendo uwe umekuwa refreshed na sio uwe unaumwa kila mahali na sijui joints zinauma sijui nini nini? ukijiona unakuwa hivyo baada ya tendo ujue mwili wako haujakaa fiti ipasavyo kimazoezi/kiafya

Pia Afya ya Akili inahusika sana, Japo inahitaji jitihada makhususi... lakini kila mtu ana uwezo wa kuchagua nini cha kufikiria na nini si cha fikiria(kupuuzia) na pia akienda hatua zaidi anaweza kupuuza kila kitu kwa wakati fulani kama unajua una huo uwezo na ukaamua kuutumia. Pia kuchagua kufikiri yale yaliopo kwenye uwezo na urefu wa kamba yako pekee; vitu usivyo na uwezo navyo utajisumbua tu bure na kujipa stress zaidi. Weka nguvu na jitihada zako kwenye kutafuta ufumbuzi wa changamoto zako, jifunze na acha kufikiria matatizo kwa maana hakubadilishi kitu na yataendelea kuwa hivyo n.k n.k................ Ukiwa na namna nzuri ya kuyachanganua mambo yako utasaidika sana kwenye afya ya akili yako na kuwa vizuri zaidi

Karibuni wadau kusaidia utatuzi wa hili jinamizi linalojizolea umaarufu kadiri siku zinavyokwenda kwenye jamii yetu.

Copy kwa msaada zaidi wa mawazo na uzoefu... BAK, watu8, utafiti, Mndengereko, Mr Rocky, Ntuzu, kabanga, OLESAIDIMU, Matola, Mtoto halali na hela, Excel, The Boss, Mtambuzi, sungura1980, Mentor, kiwatengu, Annael, Candid Scope, Kaizer, mwekundu, KakaKiiza, Freeland, Mapi, Sibonike, muuza ubuyu, Eli79, mzabzab, CYBERTEQ, na wengine wote ambao sijaweza kuwataja apa

Tz

Thanks Bro watu8


everlenk, Asante sana kwa coment yako yenye msaada sana. Umeongea kitu cha msingi sana..Thanks; You have nailed it.
Kila asomaye na afahamu!!!!


Brother Mtambuzi anatupa utambuzi wake apa:-

Dr Asprin, Zogwale, EMT, Tuko, Molembe, Jodoki Kalimilo, tpaul, na dada yangu Karucee, King'asti, Jawilat, Chujio KOKUTONA, First Lady, Kaunga, Ablessed, amu, black woman, Khantwe, Preta na wengineo wooote popote mlipo hekima zenu zinahitajita tafadhali

Mkuu BAK nimecheka sana aisee.. ila umeongezea kitu cha msingi sana Mkuu. Thanks


Mkuu Freeland anasema:-


Mkuu 1st AID anachambua kiutalamu khs wale wanaume wanaotumika sana:-


Kumbe kuwahi nako ni dili wakati mwingine!! kuchelewa nayo ni sheeedaaaa!!! Msome Mkuu EMT apa


Tunakushukuru tena Mkuu EMT kwa vitu vya maana sana kaka. Many thanks


Je mtu akifanya mara nyingi sana kuna madhara yeyote? Mkuu 1st AID anajibu


Thanks ICHANA, umetukumbusha vitu mihimu sana pia kuhusu kujikubali, kujali wakati na ahadi, Kuwa na shukrani n.k,



Mkuu Zogwale tunakushukuru kwa mchango wako makini, hakika umeshekheni!!!


Mtaalamu wa tiba asilia Mkuu MziziMkavu anatupa vitu vipya hapa:-

Anazidi kukazia ndugu MziziMkavu
 
Wooo!!! illuh enjoy your company...... Endelea kumtunza vizuri.
Napita tuu coz wangu anapiga show hadi nasogelea FENI kupoe...

************************************
 
Last edited by a moderator:
Tunakushukuru sana pia Mkuu Zogwale kwa mchango na hekima zako hapa, tumejifunza sana kutoka kwako.

Natamani kila mtu aweze kuyasoma mlio andika hapa wazidi kupata ufahamu.

Many thanks mkuu.
Mkuu Tized thread uliyoanzisha imekuwa ya neema sana na kama tutazingatia michango ya wadau ndoa na mahusiano yatapona. Binafsi nimejifunza pia mengi hapa. Blessed who spared his or time to share or read and practice.
 
Last edited by a moderator:
Tunakushukuru sana Mkuu mwakabhuta kwa ushauri wako, Naamini pia wengi watakutafuta kupitia mawasiliano yako hapa chini.

Tukuombe kama ukijaliwa fursa utushirikishe zaidi kuhusu hivyo virutubisho na upatikanaji wake maana najua sio wote wataweza kukutafuta kwanza... Naamini kwa nia yako njema utatudadavulia ulionayo mkuu.

Shukrani sana.
Chakula bora pia ni kitu muhimu. Hasa hasa protein katika chakula. Kwa hiyo sio mbaya kutumia nutritional supplements kwa sababu vyakula vyetu siku hizi hasa mjini havina virutubisho sahihi. Kuna virutubisho vizuri sana kutokana na mizizi ya mmea wa Maca ambao toka zama za kale unajulikana kusaidia kutuliza msongo wa mawazo, kuupa mwili nguvu na kuwa na msaada mkubwa sana kwa wake kwa waume kwenye masuala ya uzazi na tendo la ndoa. 0713826805 unaweza kuwasiliana kufahamu zaidi kuhusu hivi virutubisho maana ni msaada mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom