Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

dah mm nafka mapema

Tiba yake ndogo tu ndugu yangu...."shake the monkey"...tingisha ngedere wa kwanza kiherehere. ..hao watakushauri sijui control ur emotions. ..hivyo vitu ni vyepesi kwa maandishi tu not in real life....ukiwa na miadi na ka switi chako...ndg yangu jifungie bafuni piga nyeto moja ya nguvu afu mwambie aje...aaah mnakuwa levo tu supa!
 

Duuu huu ushauri n noomaaa
 

Well said.
 
Mkuu umebainisha vyema kwa kuongezea kuna mambo yafuatayo:

1. Kuwa makini na baadhi ya aina ya vyakula...

2. Kukosekana kwa lugha ya aina moja ya kimapenzi baina ya mume na mke...

3. Mazingira ya eneo la mpambano na usafi wa mwanamke...

au kuwepo kwa matatizo ya kimila
 
No shida
 
Mwanaume huruhusiwi kukaa sana, kuna wadau wanakaa muda mrefu kwenye kiti mpaka dhakar inapata ganzi!! Hiyo mbaya sana ndio maana managers wengi wana matatzo ya nguvu za kiume, tofauti na workers wengine mbao muda mwingi wanakua around
Ww ofisin unakaa,ukitoka hapo ni kwenye gari, ukifika home unaanzia mezani, ukimaliza unarudi kwenye Tv, na si ajabu baadae ukatoka kwenda baa kupiga stories na friends, hayo mazingira yote yanamfanya jamaa akae,atakuwa ACTIVE muda gani ?? Sasa kwa mtu kama huyu akilalamika hana NGUVU utashangaa? Change life Style utapata jibu, , ,sometimes tatizo huanzia padogo sana.
 
Ivi kwa nini asilimia kubwa ndoa nyingi siku huzi hazidumu. Migogoro imetawala zaidi badala ya furaha. Nisaidien kujua hili
 

Wanaume mjitahidi kupiga bomba yani kusafisha system kwani matumbo yanakuwa na mabaki mengi ya choo ya zaidi hata ya miezi sita. Ukizoea kufanya DETOXIFICATION mara kwa mara utaona matatizo mengi yanajisolve yenyewe
 
Douh....nipo Mozambique nimekumbana na mzizi huo unaitwa "Mwanazololo"...aiseee una adnid(soma kinyume) wiki...wacha kabisaa...sina matatizo lkn nilijaribu kuonja binti wa watu katoka pichu mkononi..
 
Binafsi nawashukuru sana wakuu kwa maada na elimu nzuri maana wengi wetu tupatwapo na dalili kama hizo huwa na hofu sana kwamba tiali nasi ni wahanga.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…