mafiakisiwani
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 833
- 616
kula mkuyati mwanawane uone raha ya dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tokea mada imeanza watu wote michango yao imelenga kusaidia watu kwa uwazi na ndio maana umeikuta page ya 20. Kama una nia ya dhati ya kusaidia iweke hapa ili watu waijue kama ni nzuri wataisifia na kama ni tofauti itawekwa wazi.

Hivi vitu kama picha za ngono na punyeto vina madhara sana lakini nashangaaa wanasayansi wakikanusha kwamba havina madhara yoyote.
kula mkuyati mwanawane uone raha ya dunia.
Wakuu nina ushuhuda juu ya mbegu za maboga na kitunguu swaumu pamoja na tangawizi.
Heshima mbele wakuu,niliwahi kusoma hapa juu ya mbegu za mabogs mokafanya practical,then nikafanya practica juu ya mchanganyo wa kitunguu pamoja ma tangawizi,tangu nifanye hivyo nina miezi miwili,nimeshuhudia makubwa.
Naweza nikacheza ngoma dakika 40 mpaka 50 bila kumwaga na bila kupoteza nguvu na ninaweza kupiga bao za aina hiyo 5 per day.
Wakuu mbegu hizi ni za msingi mnoo.nilizinunua pale kariakoo sokoni zinauzwa zikiwa zimefungwa kabisa

Nilianzisha mada kuhusu maboga hapa https://www.jamiiforums.com/mahusia...a-zinaongeza-nguvu-za-kiume.html#post12872414
Kawaida huwa sichanganyi na chochote na matokeo yake mazuri tu, ila nimesoma mahali kwamba kitunguu saumu kila umuhimu pia. Huwa natafuna pia na mbegu za Mlonge. kwa kawaida mimi huzingatia yafuatayo kila siku na kuwa na matokeo mazuri, yaani ngono ni kila siku na huwa tunapumzika shemeji akiwa kwenye ile hali yao
- Kula parachichi
- Tafuna mbegu za Mlonge
- Tafuna mbegu za maboga
- Kula tikiti maji pampja na mbegu zake
- Kula matunda aina ya strawberries
- Kula nyama (muhimu kwa testorones)
- Piga mazoezi kila siku
- Kunywa maji kwa wingi kila siku
Naona hivi karibuni nitaanza biashara ya mambo haya, Ukikuyu wangu umeanza kuwaza cc: kui