Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Mkuu tokea mada imeanza watu wote michango yao imelenga kusaidia watu kwa uwazi na ndio maana umeikuta page ya 20. Kama una nia ya dhati ya kusaidia iweke hapa ili watu waijue kama ni nzuri wataisifia na kama ni tofauti itawekwa wazi.

Tena hiyo haitoshi
 
Hiyo haitoshi tu bali pia uzi unajaribia mwaka watu wanatiririka kwa uwazi
 
ndugu zetu wameongea mengi na vilivyo ni gusa ni vingi ila amenisaidi zaid kugundua kitu kilichokuwa kinanimaliza .kupoteza kumbukumbu na kutokuona vizur kulikokuwa kunaongezeka kwa kasi nimegundua kunasababishwa na ngono in excess kwa kuwa kila kitu kinapo zidi kina madhara
 
Hapo hebu tuwekeni wazi hiyo insure ni yaukweli au full kutuzuga tuzidi kupumbazika kwenye hilii maana Mimi mmoja wapo Wa hili jambooo MK254
 
Last edited by a moderator:
Naitaji Binti wa kuoa sina ubaguzi wa dini au kabila umri miaka chini ya miaka 35 namba ang ya simu 0652463552.
 
Wakuu nina ushuhuda juu ya mbegu za maboga na kitunguu swaumu pamoja na tangawizi.
Heshima mbele wakuu,niliwahi kusoma hapa juu ya mbegu za mabogs mokafanya practical,then nikafanya practica juu ya mchanganyo wa kitunguu pamoja ma tangawizi,tangu nifanye hivyo nina miezi miwili,nimeshuhudia makubwa.
Naweza nikacheza ngoma dakika 40 mpaka 50 bila kumwaga na bila kupoteza nguvu na ninaweza kupiga bao za aina hiyo 5 per day.
Wakuu mbegu hizi ni za msingi mnoo.nilizinunua pale kariakoo sokoni zinauzwa zikiwa zimefungwa kabisa
 
Unachanganyaje
 
Nilianzisha mada kuhusu maboga hapa https://www.jamiiforums.com/mahusia...a-zinaongeza-nguvu-za-kiume.html#post12872414
Kawaida huwa sichanganyi na chochote na matokeo yake mazuri tu, ila nimesoma mahali kwamba kitunguu saumu kila umuhimu pia. Huwa natafuna pia na mbegu za Mlonge. kwa kawaida mimi huzingatia yafuatayo kila siku na kuwa na matokeo mazuri, yaani ngono ni kila siku na huwa tunapumzika shemeji akiwa kwenye ile hali yao

- Kula parachichi
- Tafuna mbegu za Mlonge
- Tafuna mbegu za maboga
- Kula tikiti maji pampja na mbegu zake
- Kula matunda aina ya strawberries
- Kula nyama (muhimu kwa testorones)
- Piga mazoezi kila siku
- Kunywa maji kwa wingi kila siku

Naona hivi karibuni nitaanza biashara ya mambo haya, Ukikuyu wangu umeanza kuwaza cc: kui
 
Kwa huku mjini mbegu za mlonge si rahisi kupata
 
Heheh! MK254 Ukikuyu umeanza ku kick in huh?...good for you!
Kutokana na recent news linaonekana ni tatizo Africa mashariki yetu,...cept for Uganda I guess, ifanyie kazi idea who knows you can build an Empire, and don't forget me in your Kingdom....lol!
 
Back
Top Bottom