Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Samahan mm napoanza kupanda farasi huwa ninakuwa na wasiwasi sana hivi ni kwaniniiiiii.!!!
 
Kuna mboga imenitesa usiku hahahah may ni dawa maana ishu ilisimama usiku mzima daah mpaka SAA kumi na mbili ndo ikapoa kila Niki sinzia nikiamka naona mtambo bado una signal za kutosha hahhaa he unatakuijua
 
Hii mboga ya kawaida tu inahusu mchanganyiko wa nyanya chungu,matembele,pilipili hoho,nyanya,vitunguu,pilipili za kawaida na tangawizi mbichi daah naleo najaribu tena ikikubali basis ndo dawa hiyo
 
Wanawake wanamatatizo ya kutofika kileleni mapema nao dawa yao ni nini?
 
Hamna haja ya kuhangaika, kwa mwanaume jizoeshe kula mbegu za Mlonge, mbegu za maboga (pumpkin seeds), tikiti maji halafu mazoezi basi. Mengine huna haja, yaani demu atakupenda. Naongea kitu chenye mwenyewe nime-experience kwa muda mrefu sasa.
 
Hili tatizo lipokwa wanaume wengi. Na kuna msaada wa kumpa mtu nguvu zaidi ambao ni wa kuaminika na hauna madhara ya kiafya(side effects). Kwa msaada jinsi ya kutumia na faida za hizi dawa piga 0716768855
 
Mkuu tokea mada imeanza watu wote michango yao imelenga kusaidia watu kwa uwazi na ndio maana umeikuta page ya 20. Kama una nia ya dhati ya kusaidia iweke hapa ili watu waijue kama ni nzuri wataisifia na kama ni tofauti itawekwa wazi.
 
asante kk kwa kumwambia ukweli kama mtu ana nia ya kusaidia watu si lazima asaidie kwa kupigiwa cm huo ni wizi na utapeli.
 
Nimeipenda hii,tuokoane maana wengi tuna matatizo hayo,ahsanteni kwa kuwa wawazi kihivyo
 
Hamna haja ya kuhangaika, kwa mwanaume jizoeshe kula mbegu za Mlonge, mbegu za maboga (pumpkin seeds), tikiti maji halafu mazoezi basi. Mengine huna haja, yaani demu atakupenda. Naongea kitu chenye mwenyewe nime-experience kwa muda mrefu sasa.

Uko Sahihi kiongozi
 
Hivi vitu kama picha za ngono na punyeto vina madhara sana lakini nashangaaa wanasayansi wakikanusha kwamba havina madhara yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…