Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

hahahaaaaa ukifanya hivi aisee si italala kabisa
 
Ha ha ha kwa wale wanaosumbuka na Tatizo hilo lkn walikua wana function tumieni karafuu usiunge sukari.wala asali unaweka kidogoooo sana robo ya robo ya robo ya teaspoon maji kikombe kikubwa chemsha kunywa asubuhi na jioni wiki moja u will be suprised!!!!! erection n delay during inter.....se.
 
Kama kuna mwenye tatizo anitafute nimpe moja kati ya kahawa za Organo Gold...ni nzuri sana kwa waliopungukiwa nguvu za kiume..
 
Samahani wakuu,
naomba kujua : ni madhara ama faida gani azopata kijana wa kiume mwenye umri wa kati ya miaka 20-25 ambaye hajawahi kujamiiana wala kupiga punyeto kipindi chote cha maisha?!.
 
Samahani wakuu,
naomba kujua : ni madhara ama faida gani azopata kijana wa kiume mwenye umri wa kati ya miaka 20-25 ambaye hajawahi kujamiiana wala kupiga punyeto kipindi chote cha maisha?!.

Hakuna matatizo yoyote mkuu ya kiafya may be kisaikolojia na hili inategemeana na ww ulivyo ipokea hali hyo.
 
hizi mada za nguvu za kiume huwa zinwabamba sana maana watu wanakuwa active na kucomment hihihih:shock::lock1:
 
Tized, Wanaume wangezingatia haya uliyoyasema hapa hakika wasingekimbilia kununua MKUYATI

Pamoja nahoja zote zilizotolewa lakini asilimia 50 ya tatizo la majogoo na majike kutofanya Kazi zao vema ni ukosefu walishe bora. Vyakula Vingi vinavyoliwa ni vyaaina moja tuu kubwa . Wanga kwenda mbele. Na wakati mwingine huwa umeharibiwa kwa mfano chips,ugali wa sembe badala ya dona. Kutokula matunda ya kutosha na mbogamboga. Watalaam wanasisitiza ili mwili upate lishe ya mboga za majani unatakiwa ule kilo tatu na upande wa matunda kwa mfano machungwa unatakiwa ule machungwa 30 kwa siku moja. Nasiku wa inayo fuata jamii nyingine ya matunda. Je nani atamudu lishe hiyo? Bado hujagusa aina nyingine za chakula. Utafiti unaonesha kuwa kwa mazingira fulani MTU mmoja anaweza kutumia sh. milioni moja kwa chakula tu ilikukamilisha mlo unaotakiwa kitaalamu.

LAKINI KUNASULUHISHO Limepatikana kupitia kinywaji au juisi/juice ya Trevo imamchanganyiko wamatunda ya bustanini na porini ,mbogamboga za bustanini naporini na zinazopatikana chini ya bahari ,madini kutoka pande NNE za dunia yetu. Ina virutubisho (incridients) 174. Hii imefanyiwa utafiti kwa miaka sita na wanasayansi mbalimbali. Juisi hii umesaidia kutatua matatizo lukuki ya kiafya yasiyotibika hospitalini, ikiwemo na majogoo na majike kutofanya Kazi zao vyema. Na watoto wamepatikana kwa wale ambao wamehangaika kutafuta watoto bila mafanikio, na Kisukari,shinikizo la damu,macho, kufa ganzi( stroke) cansa , moyo,aleji na mengine mengi unayoyajua na usiyo yajua. Juisi imetengenezwa kiwandani na Kampuni ya Trevo nchini Marekani. Huna sababu ya kuhangaika tena na matatizo ya maradhi yasiyotibika .Mimi ni mtumiaji na msambazaji Wa Trevo karibu tuwasiliane.
 
Last edited by a moderator:
Msaada unahtajika

Huwa ninachelewa kufika kileleni, kiasi kwamba wanawake wanahisi ninawakomoa..maana wanaweza kupiga hodi mara 3-5 mimi ndio kwaanzaaa mashine inachanganya....

JE NINA TATIZO...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…