hahahaaaaa ukifanya hivi aisee si italala kabisa
Utulivu wa akili pamoja na mazoezi yanatakiwa.Kwa wale wanaowahi sana nawashauri kutumia mbinu moja hivi pale unapohisi kwamba WANAO wanataka kutoka unapaswa kuhamisha mawazo yako toka hapo ulipo.Unaweza kukumbuka msiba wa mtu uliyempenda sana au kukumbuka siku uliyopata shida kubwa na hukuwa na kitu Mfukoni