Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Nenda hospital au kwa watu wa tiba asilia utatibiwa vzur kuna dawa za kukaza misuli iliyolegea kwa punyeto so usiwaze usione aibu nenda tibiwa jombaa
 
Kwahiyo ukipiga punyeto zakari inasimama vizuri tu isipokuwa kwa papuchis ndio shida?
 
Acha kabisa kujilipua halafu uwe unafanya mazoezi mara kwa mara pamoja na kutumia dawa za kienyeji kwa wataalam wa hizo mambo
 
kula sna matikiti maji, tafuna na mbegu zake unaweza ukaongezea na matango....km bdo tatizo linaendelea bas tafuna sna nyanya chungu mbich (hii ni balaa ukitumia mwanamke lzma akajikande na maji ya moto)
 
Cjui dk Mwaka anapatikana wapi siku hizi, Ndodi nae kajificha haonekani kabisa.

Ila naamini ipo tiba ya kukarabati kiungo chako. Usichoke kuitafuta.
 
Nyie mnasumbua sana sometime unaona bora upige zako master ili uendelee na majukum mengine akili ikiwa imetulia
Usiseme nyie sema partner wako anasumbua, sasa mie naanzia wapi kumsumbua bae wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…