Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Pengine unahisi urembo wake au hadhi hamuendani, jitahidi kumwona wa kawaida ,utakuwa ok
 
Wanajamvi hodi humu ndani...Nina tatizo ( nahisi) kwa maana nikikutana mpenzi wangu siwezi kupiga bao mbili naomba msaada wa mawazo non nifanye jamni katika hili ? Naomba wajuzi wa mambo mnijuze
Karibuni
 
Huwez kupga bao mbil kwa round moja au huwez kupga bao la pil kwa mzunguko wa pili?
 
jamaaa tuambie ukimaliza LA kwanza nini hutokea tujuee tunaanxia wap
 
Umeoa au ni mchumba tu? Kama ni mke na huwa mnafanya mara kwa mara lazima utakomea kimoja tu. Na hicho kimoja ni cha ukweli na kinachukua muda mrefu hivyo hata mwanamke anaridhika. Ila kama ni mchumba na mnakutana mara 1 kwa wiki au wiki mbili na bado unaenda kimoja kuna tatizo.
 
la kwanza unatumia mda gani?

maana mi nna jamaa yangu aliwahi nambia hawez enda la 2 kama ww ila hilo moja ni saa kasoro

mie zamani nilikuwa siwezi zidisha bao 2, nkakutana na gumegume 1 lina uchu balaa, baada ya zangu 2 likanipa BJ. mnara ukasoma halotel 4g nkaenda 3-4 tangu hapo nkajua nko vzr

jaribu mtu ulienae akuhamasishe pia baada ya ilo 1 utaendelea na zaidi
 
Back
Top Bottom