Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Haiwezekani mwanaume mzima utuambie eti umejaribu umeshindwa! Acha tsbia zako za hovyo mara moja au endelea ili ushindwe tendo milele. What kind of a man will you be? I think you need plain truth!
 
Haiwezekani mwanaume mzima utuambie eti umejaribu umeshindwa! Acha tsbia zako za hovyo mara moja au endelea ili ushindwe tendo milele. What kind of a man will you be? I think you need plain truth!

uo sio ushauri ndugu angu
 
kiukweli kwa sasa nina miaka 21 na ninasoma elimu ya juu lakini kiukweli mimi nilianza kujichua nikiwa forn5 kule uboyzn hali iliyonifanya nishindwe kabsa kuacha hadi hivi sasa,kiukweli wasichans ninao lakini kiukweli tangu nifanye nao mapenzi hakuna hata mmoja nliyewai (kupeez) japo wao wanaamini nilfanya hvo, najtaid sana lakini nashndwa kufanya hvo,ninatamaa sana ya wasichana lakini nikimpata naishia romance basi nashndwa ,hv sasa sioni umuhimu wao kabsa na puli naweza kuizuia 1week lakini bdae napata tamaa nafanya,naumia sana nashndwa kuacha kabsa na hvo game siwezi kabisa najiulza ntaweza kuzalisha kweli? sijawah kumueleza yoyote hili tatizo zaidi ya leo hapa jf,naombeni ushaur au dawa nkanunue ili niache tafazali sana.
daaa...hata Mimi nmesoma uboyzin na hyo kitu imenisumbua sana...nliambiwa niache kuangalia porn. Haikua rahis lakini nilijitahidi ivoivo. Nina peez kama kawaida. Jitoe kaka. Usipige punyeto wala kucheki porn.
 
Umashindwa kupeez? Au unaenda mda mrefu bila kupeez?
 
Acha kupiga nyeto, fanya mazoezi, achana na wanawake, Mshikilie Mungu, mwisho kabisa piga kitabu hadi ujishangae.
 
Nyeto huwa inakuwa influenced na mazingira fulan kama vile bafun, au chumban kwako, cha msingi ni kuepuka kukaa mazingira ambayo unajua yanapelekea ushawishike kufanya nyeto.
Pia ww kushindwa kuwa na nguvu maana yake mishipa ya uume imelegea kias kwamba huwez kusababisha msuguano ( friction) ili mwanamke apate hisia na kufika kilelen, ili kuepukana na hilo jaribu muda wote kujipa kaz ya kufanya ili kuepusha kupata hisia za nyeto.
NB😛ia nakusihi ufanye mazoezi sana ili kuimarisha misuli na mishipa iliyolegea.
Muda ukipata tamaa au hisia mtafute mwanamke wako na kufanya nae pia kuwa karibu nae muda mwingi ili kupisha mawazo ya nyeto,.
Naamin wapiga nyeto wengi huwa waoga kutongoza saana tu! Kuwa ni wa kujiamin na muone mwanamke kama MTU wa kawaida tu na hutapungukiwa na kitu kumfuta na kumwambia hisia zako. Naishia hapo. NB MAZOEZI FANYA KILA SIKU HATA YA KUKIMBIA NI MAZURI.
 
dah pole mkuu
ila nyeto ina faida zake sema wewe ulizidisha mpaka unashindwa kutembea?
fanya mazoezi sana,kula vizuri,unywe maji mengi,acha kuangalia porn,baada ya wiki omba mechi kisha ulete mrejesho

mie napiga mpaka kesho na demu akija namtia mpaka anachanganyikiwa na nnapizi ..minimum 4 goals per mgegedo
 
Anza kumuabudu Mungu wako kwa dhati.
Shetani anae kushawishi maovu atakuepuka.
 
Back
Top Bottom