kiukweli kwa sasa nina miaka 21 na ninasoma elimu ya juu lakini kiukweli mimi nilianza kujichua nikiwa forn5 kule uboyzn hali iliyonifanya nishindwe kabsa kuacha hadi hivi sasa,kiukweli wasichans ninao lakini kiukweli tangu nifanye nao mapenzi hakuna hata mmoja nliyewai (kupeez) japo wao wanaamini nilfanya hvo, najtaid sana lakini nashndwa kufanya hvo,ninatamaa sana ya wasichana lakini nikimpata naishia romance basi nashndwa ,hv sasa sioni umuhimu wao kabsa na puli naweza kuizuia 1week lakini bdae napata tamaa nafanya,naumia sana nashndwa kuacha kabsa na hvo game siwezi kabisa najiulza ntaweza kuzalisha kweli? sijawah kumueleza yoyote hili tatizo zaidi ya leo hapa jf,naombeni ushaur au dawa nkanunue ili niache tafazali sana.