Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Nyeto huwa inakuwa influenced na mazingira fulan kama vile bafun, au chumban kwako, cha msingi ni kuepuka kukaa mazingira ambayo unajua yanapelekea ushawishike kufanya nyeto.
Pia ww kushindwa kuwa na nguvu maana yake mishipa ya uume imelegea kias kwamba huwez kusababisha msuguano ( friction) ili mwanamke apate hisia na kufika kilelen, ili kuepukana na hilo jaribu muda wote kujipa kaz ya kufanya ili kuepusha kupata hisia za nyeto.
NB😛ia nakusihi ufanye mazoezi sana ili kuimarisha misuli na mishipa iliyolegea.
Muda ukipata tamaa au hisia mtafute mwanamke wako na kufanya nae pia kuwa karibu nae muda mwingi ili kupisha mawazo ya nyeto,.
Naamin wapiga nyeto wengi huwa waoga kutongoza saana tu! Kuwa ni wa kujiamin na muone mwanamke kama MTU wa kawaida tu na hutapungukiwa na kitu kumfuta na kumwambia hisia zako. Naishia hapo. NB MAZOEZI FANYA KILA SIKU HATA YA KUKIMBIA NI MAZURI.


daa japo nilipo nabanwa sana na masomo lakini nitajitaid
 
Ww unajiendekeza na huo mzigo utakuja kusinyaa kabisa na maisha yako yatakua ndio hayo, acha kuangalia Picha za pono, Fanya mazoez yakutosha, tafuta kampan zakuchat na hiyo habar utaacha afu sa iv wenye hichi chama naona mpo wengi naona mabint wamekua wachache
 
Pole dogo

Kuna bwana alizoea nyeto ikafika kipindi akiona babycare anaenda mnara
 
Acha kutazama porn then chukua uamuz wa kuokoka utakuwa jirani na Mungu..maana hiyoo nyeto ni pepo linalowatafuna wengi. Mbaya zaidi jambo hilo ni dhambii.
 
mchuzi wa pweza una mantiki yoyote kwenye nguvu ya kiume?
 
Pamoja kwamba lengo ni kumaliza,swali lake bado hatujalijibu,Mwenye jibu tafadhali msaidie mjenga
 
Punguza hisia kali, jitahidi kucontrol hisia zako ili usimalize haraka hakikisha unamfikisha mlengwa kitonga.
Ukisikia zinakuja waza mavitu mabaya mabaya zinarudi hlf unaanza upya.
 
Punguza hisia kali, jitahidi kucontrol hisia zako ili usimalize haraka hakikisha unamfikisha mlengwa kitonga.
Ukisikia zinakuja waza mavitu mabaya mabaya zinarudi hlf unaanza upya.
hahahahahaaaaa,,, mavitu mabaya kama yapi sasa....
 
Back
Top Bottom