Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Mkuu tunaweza kukupataje ili tupate hiyo tiba?
 
Hio mizizi mkuu kama naifaham vile , yani ukianika kwenye jua inakua kama na utamu flani hv lkn ukiichimba na kula hivyo hivyo ina uchungu flani ,
Sisi kule tanga tunaita mibomboo
 
Tunazitaka mkuu kuna watu wanapata shida sana. Hebu zilete
Mkuu tunaweza kukupataje ili tupate hiyo tiba?
 
kufatana inbox si kazi sana mkuu ila tunaomba namba ili wadau wapige moja kwa moja.
asante
 
Wanaume wengi wanalia na hili tatizo, hii ni kutokana na namna wanavyoishi.
Kuepuka na hili fanya yafuatayo kumridhisha mkeo au mchumba hauna haja ya kwenda kwa waganga wala kununua nunua madawa
1. Kula vizuri(Hapa kula vyakula vya kujenga mwili na si vingine)
2. Fanya mazoezi walau mara tatu kwa wiki. Na mazoezi hata kwako panatosha hii inaufanya mwili uwe fiti na damu yako izunguke vizuri.
3. Wakati wa tendo ukiona unataka kumaliza toa nje, kojoa endelea tena ukitaka kumaliza toa nje kojoa endelea tena. Hapo mpaka mchumba ama mkeo atamaliza.
4. Hakikisha unakwepa vitu vya sukari sukari
5. Kwepa style zinazosababisha wewe kumaliza haraka
6. Usikwepe kula bila sababu hii inadhoofisha mwili wako
7. Pia mwanamke awe tayari kwa tendo wengine wanakuwa hayupo tayari kwa hiyo hata ufanyeje hamalizi huyo mchumba wako

Wanaume msihangaike na madawa fuata hayo hapo juu utaenjoy tu.
 
Unatoa nje na kukojoa kitu gani???
 
SULUHISHO LA KUDUMU..Dawa nzuri na yenye uhakika na ni suluhisho la kudumu la nguvu za kiume na nakuhakikishia kwa asilimia zote kuwa ni dawa yenye kumaliza tatizo kabisa milele tena kwa gharama nafuu ni hii, chukua mwanamke mwenye tako kubwa. Hapo utakuwa umemaliza tatizo. Utasimamisha masaa 24 bila kushuka,
 
SULUHISHO LA KUDUMU..Dawa nzuri na yenye uhakika na ni suluhisho la kudumu la nguvu za kiume na nakuhakikishia kwa asilimia zote kuwa ni dawa yenye kumaliza tatizo kabisa milele tena kwa gharama nafuu ni hii, chukua mwanamke mwenye tako kubwa. Hapo utakuwa umemaliza tatizo. Utasimamisha masaa 24 bila kushuka,
 
kuna nguvu za kike? nauliza tu.

Ndio, dalili baadhi za kutokuwa na nguvu za kike ni;
1. Kuwa mkavu hata baada ya kuandaliwa
2. Kusikia maumivu wakati wa tendo
3. Kupoteza hamu ya tendo
 
Asant
Ndio, dalili baadhi za kutokuwa na nguvu za kike ni;
1. Kuwa mkavu hata baada ya kuandaliwa
2. Kusikia maumivu wakati wa tendo
3. Kupoteza hamu ya

Dawa yake nini sasa, nahisi nina hilo tatizo. Nisaidie i see
 
Habari za mida hi wakuu baada ya kujitoa kwenye uanachama wa chaputa kila nikifanya mapenzi nafungulia koki ndan ya dk tatu na kwenda raund ya pili ni tiz kwel nashindwa kbsa yan. Naomben msaada nifanye nn ili niweze kuongeza speed na raund nifikishe ata nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…