Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Nimetumia lugha ya picha kuelezea hali inayonikuta niwapo mchezoni. Kila ninaporudia raundi nimeshazoea kuingiza mashine ikiwa imelegea na kuwakia kwa ndani sababu hata nifanyaje haiwaki vizuri ikiwa nje ila ikishazama napiga show ya hatari sana. Je, huu ni ugonjwa au ni hali ya kawaida kwa mwanaume?
Nawasilisha
 
Una umri gani. Na huu uwashiaji wa kwenye gia ni kwa automatic starter au ni kwa kutumia kick? Na je ni kila aina ya chombo unawashia gia au unaongelea chombo ulichozoea kukiendesha kila siku?
Ukijibu maswali yangu ya utangulizi ndiyo nitapata mwanga namna ya kutiririka ki-mada.
 
Nimetumia lugha ya picha kuelezea hali inayonikuta niwapo mchezoni. Kila ninaporudia raundi nimeshazoea kuingiza mashine ikiwa imelegea na kuwakia kwa ndani sababu hata nifanyaje haiwaki vizuri ikiwa nje ila ikishazama napiga show ya hatari sana. Je, huu ni ugonjwa au ni hali ya kawaida kwa mwanaume?
Nawasilisha
Dogo acha punyeto
 
Back
Top Bottom