Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Hili niliwahi kulijibu na kulitolea maelezo kwa kina tena kwenye huu uzi, pitia link hii hapa chini, binafsi nilikua na hayo matatzo ya kupiga bao moja na bora wewe unakua tayari baada ya masaa, mimi ilikua bao moja tu basi, kuanzia hapo sitaki hayo mambo labda hadi kesho yake, na hata bao lenyewe nikivuta sana labda dakika tano. Lakini baada ya kubadilisha maisha na kuanza kufuatilia mbinu na njia nilizoelekeza kwenye hii link hapa, maisha yangu yalibadilika, kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu nilimtia mwanamke mabao sita, amini usiamini, mabao sita, japo yalikua ndani ya masaa 24, ila nilijishangaa sana.

Leo hii huwa niko tayari kwa mechi kila siku, tulishakubaliana na mke yeye awe ndiye wa kusema lini maana akinisubiri mimi nitataka iwe kila siku, hivyo yeye hunipa aidha mara moja kwa wiki. Halafu nina mchepuko ambaye kila nikimkamata huwa hatuwachani kama sijamtia mabao kati ya nne na tano, japo huwa tunakutana labda mara moja kwa mwezi.

Badala ya kuionesha aipime kwa rula ajue ana cm ngapi kisha azibadili kwenda kwenye inch kisha aseme hapa kama inabidi
Anacjotakiwa kujua huyu mwenzetu ni kwamba jogoo kabla hajasimama kwa wengi huoenkana ya kawaida tu na ndogo...ikisimama tena wale wenye ndogo inaweza zidi ya wale ambao kabla ya kusimamisha inakuwa kubwa....aondoe shaka tu aitumie vyema hiyo alo nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kwa ushauri huu mujarabu mkuu. Nitaufanyia kazi ipasavyo.
 
Kwani kuchepuka kunapunguza uwezo wa kupambana nyumbani
 
Of course hat mm cko mbali san na wakuu wangu hapo juu Huo ndio ushauri mzuri chamsingi2 ww inabidi uongeze ueredi kweny mechi yako napia tumia mbinu mbadala kumlizisha mwenzio wako bc hakuna Cha penis kubwa wa ndog
 
Mkuu umebainisha vyema kwa kuongezea kuna mambo yafuatayo:

1. Kuwa makini na baadhi ya aina ya vyakula...

2. Kukosekana kwa lugha ya aina moja ya kimapenzi baina ya mume na mke...

3. Mazingira ya eneo la mpambano na usafi wa mwanamke...
Binafsi mi tatzo lipo kwa mwanamke ninaekutana nae ndo uwa najiona kwa kweli nguvu sawa sina.....

Mosi mwanamke aliepoa kila kitu kwake ni uchavu hawez ata kunianda ama Mimi hataki nimuandae yy anataka niingie tu kwa kweli apo nguvu zinapungu

Pili naingia nakuta mazingira sio rafik uke Mkubwa ka napwaya ivi harufu napga mashine mtu katulia no kilio cha mahaba kwa kweli apo uwa Sina nguvu ngoma inazima ikiwa ndan lkn una kutana na dem anaweza sio mzur wa sura lkn miundombinu yake ikawa ya kuvutia sana
Mkuu umebainisha vyema kwa kuongezea kuna mambo yafuatayo:

1. Kuwa makini na baadhi ya aina ya vyakula...

2. Kukosekana kwa lugha ya aina moja ya kimapenzi baina ya mume na mke...

3. Mazingira ya eneo la mpambano na usafi wa mwanamke...
 
Ahahahahha...miondombinu hadi huko ipo kumbe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Of course hat mm cko mbali san na wakuu wangu hapo juu Huo ndio ushauri mzuri chamsingi2 ww inabidi uongeze ueredi kweny mechi yako napia tumia mbinu mbadala kumlizisha mwenzio wako bc hakuna Cha penis kubwa wa ndog
Ndio ndio Js [emoji23][emoji23]
 
Of course hat mm cko mbali san na wakuu wangu hapo juu Huo ndio ushauri mzuri chamsingi2 ww inabidi uongeze ueredi kweny mechi yako napia tumia mbinu mbadala kumlizisha mwenzio wako bc hakuna Cha penis kubwa wa ndog
Haya maneno, niyakujifariji tu. N vyema tu ukamuomba Allah akupe mwenza mnaeendana maumbile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…