Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Nimeulizwa swali 'punyeto once a week nayo ina madhara' naomba mnisaidie
Kupiga Punyeto kwa wiki mara 1 kuna madhara hata kama kupiga punyeto kwa mwezi mara 1 pia kuna madhara yake. Tendo la wewe kuchezea dushelele lako ni nyama laini sasa ikiwa kila baada ya muda unaichezea huo Uume wako utaregea naKusinyaa na kutofanya kazi vizuri wakati unapotaka kuitumia ifanye kazi hebu Tembelea thread hii hapa inaeleza namna ya Uume kusinyaa inatokana na kupiga punyeto bonyeza hapa.Topic: Uume kusinyaa

Mkuu MziziMkavu hata nami kitu cha masaa 6 kabla kimenishangaza sana,swali la nyongeza kwa yale alouliza Tized je hii kitu ni applicable kwa wanawake pia au ni wanaume tu?
Kwa nyinyi Wanawake hiyo mbinu ya kukaa masaa 6 bila ya kula chakula haiwahusu ila ninakupa mbinu yako ukitaka ujisikie raha kwenye tendo la ndoa na bila ya wewe kuchoka kula kungu manga dakika 30 kabla ya kufanya tendo la ndoa utajisikia raha ile mbaya na hutochoka haraka jaribu kisha uje unipe feedback bibie everlenk

Mtaalamu wetu MziziMkavu upitie na hili tafadhali.
Mkuu Tized nimesha mjibu Mkuu Will traveller swali lake.
 
You are such a BIG help Brother MziziMkavu.

Nakushukuru sana kwa niaba ya wengi humu Mkuu.

Asante sana. everlenk kazi kwako sasa na kungumanga!!!! hahahahahaaa!!!! Ntakupeleka ICC usipoleta mrejesho apa!!! Aalaaahh!!!!!
Kupiga Punyeto kwa wiki mara 1 kuna madhara hata kama kupiga punyeto kwa mwezi mara 1 pia kuna madhara yake. Tendo la wewe kuchezea dushelele lako ni nyama laini sasa ikiwa kila baada ya muda unaichezea itaregea na kutofanya kazi vizuri wakati unapotaka kuitumia ifanye kazi hebu Tembelea thread hii hapa inaeleza namna ya Uuume kusinyaa inatokana na kupiga punyeto bonyeza hapa.Topic: Uume kusinyaa

Kwa nyinyi Wanawake hiyo mbinu ya kukaa masaa 6 bila ya kula chakula haiwahusu ila ninakupa mbinu yako ukitaka ujisikie raha kwenye tendo la ndoa na bila ya wewe kuchoka kula kungu manga dakika 30 kabla ya kufanya tendo la ndoa utajisikia raha ile mbaya na hutochoka haraka jaribu kisha uje unipe feedback bibie everlenk

Mkuu Tized nimesha mjibu Mkuu Will traveller swali lake.
 
Last edited by a moderator:
Karibu best yangu.... Amna hata ya kingoni best... angaliamo bhana utupe maujuzi apa... hahahahahaaaa
ha haaaa, mi naona za kidhungu na kichaga zinatosha rafiki......
tuanze na hizo kwanza tusije wachanganya watu
 
Kupiga Punyeto kwa wiki mara 1 kuna madhara hata kama kupiga punyeto kwa mwezi mara 1 pia kuna madhara yake. Tendo la wewe kuchezea dushelele lako ni nyama laini sasa ikiwa kila baada ya muda unaichezea huo Uume wako utaregea naKusinyaa na kutofanya kazi vizuri wakati unapotaka kuitumia ifanye kazi hebu Tembelea thread hii hapa inaeleza namna ya Uume kusinyaa inatokana na kupiga punyeto bonyeza hapa.Topic: Uume kusinyaa

Kwa nyinyi Wanawake hiyo mbinu ya kukaa masaa 6 bila ya kula chakula haiwahusu ila ninakupa mbinu yako ukitaka ujisikie raha kwenye tendo la ndoa na bila ya wewe kuchoka kula kungu manga dakika 30 kabla ya kufanya tendo la ndoa utajisikia raha ile mbaya na hutochoka haraka jaribu kisha uje unipe feedback bibie everlenk

Mkuu Tized nimesha mjibu Mkuu Will traveller swali lake.

Asante sana mkuu MziziMkavu somo kuntu hili,nitaleta mrejesho hapahapa, Kaka Tized usijali mie tena,ngoja kesho niingie mitaani kuzisaka,chezea kupata mautamu wewe!!!!!! Lolz
 
Last edited by a moderator:
Ahhaaaa... Sawa best... naona wewe leo una kigugumizi... Ngoja nimuite braza yako yule anayependaga kutembelea wagonjwa sana mahospitalini kuwajulia hali sana sana mabinti wadogo wadogo... Hivi Bado anaimba TOT band eeh!!!! Au ndio mambo ya bunge binafsi la katiba!!!
ha haaaa, mi naona za kidhungu na kichaga zinatosha rafiki......
tuanze na hizo kwanza tusije wachanganya watu
 
Hahahahaaaaaa... Najuuta kukufahamu!!! hahahahaaa!!!! Ahadi ni deni dadangu everlenk ukumbuke lakini... Please enjoy kulikojaaa na kusukwasukwa!!!!!!!!!
Asante sana mkuu MziziMkavu somo kuntu hili,nitaleta mrejesho hapahapa, Kaka Tized usijali mie tena,ngoja kesho niingie mitaani kuzisaka,chezea kupata mautamu wewe!!!!!! Lolz
 
Last edited by a moderator:
Ahhaaaa... Sawa best... naona wewe leo una kigugumizi... Ngoja nimuite braza yako yule anayependaga kutembelea wagonjwa sana mahospitalini kuwajulia hali sana sana mabinti wadogo wadogo... Hivi Bado anaimba TOT band eeh!!!! Au ndio mambo ya bunge binafsi la katiba!!!
ha haaaaa, tena huyo nahisi kama itamfaa kabisa, anaweza kutupa his own experience, lol!
 
Ukiweza kula miwa tu inatosha muwa wa mia tani kwa siku inatosha. Au kikombe kimoja cha juice ya miwa miwa ikiyokamuliwa
 
Asante sana mkuu MziziMkavu somo kuntu hili,nitaleta mrejesho hapahapa, Kaka Tized usijali mie tena,ngoja kesho niingie mitaani kuzisaka,chezea kupata mautamu wewe!!!!!! Lolz
Bibie kungu Manga! Ukizijuwa namna ya kutumia basi nyumba yako itatulia hakuna cha nyumba ndogo wala kibustani hapo.

attachment.php
 
Attachments

  • nutmeg-jaiphal.jpg
    nutmeg-jaiphal.jpg
    52.1 KB · Views: 6,867
Back
Top Bottom