Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Hivi tungekuwa tunajibidisha hivi ktk kumtumikia na kumtafuta Mungu tungekuwa na tiket ya uhakika na siti kule mbinguni
 
Ubunifu pia ni muhimu kwa maswala ya mapenzi.Inatakikana umweleze kichuna chako hisia za moyoni na uimarishe mahusiano yako na mpenzi wako kwa meseji za kijanja kama hii:

Nakupenda sana mpenzi wangu,wewe pekee ndio mwenye kujua furaha ya moyo wangu,Nikiwa na majonzi huwa upo karibu nami.Asante wangu tabibu,wewe pekee ndo wangu wa manani!

Ni rahisi mno, tuma WAPENDANAO kwenda namba 15630.Jaribu SASA na ujionee mwenyewe (kwa mitandao ya Voda & Airtel pekee)
 
Mkuu @mr mangi Kila kitu chini ya jua kina majira na wakati wake. Vya Kiroho na vya kimwili pia. Lazima kila kimoja kipewe uzito na kipaumbele kinachostahili..
Hivi tungekuwa tunajibidisha hivi ktk kumtumikia na kumtafuta Mungu tungekuwa na tiket ya uhakika na siti kule mbinguni

Words Mkuu. Many thanks
Ubunifu pia ni muhimu kwa maswala ya mapenzi.Inatakikana umweleze kichuna chako hisia za moyoni na uimarishe mahusiano yako na mpenzi wako kwa meseji za kijanja kama hii:

Nakupenda sana mpenzi wangu,wewe pekee ndio mwenye kujua furaha ya moyo wangu,Nikiwa na majonzi huwa upo karibu nami.Asante wangu tabibu,wewe pekee ndo wangu wa manani!

Ni rahisi mno, tuma WAPENDANAO kwenda namba 15630.Jaribu SASA na ujionee mwenyewe (kwa mitandao ya Voda & Airtel pekee)

Karibu sana tomjelly, Katika room ulionayo ambayo huwa haitawahi kujaa ni Room ya KUJIFUNZA. karibu sana na kama unacho cha kutushirikisha pia, tutashukuru kujifunza kutoka kwako.
Aiseeeeeeeeeeeeeee!!! AHSATENI SANA, sitaliacha hili jukwaa
 
Last edited by a moderator:
jaman mm n mgen na ningepend kujulishw ni njia gan ni zitumie ili nguv zangu zirud kuw kam zamani
 
Karibu sana. Fafanua zaidi tatizo lako Mkuu. Zamani ilikuaje na sasa ikoje? na unafikiri inaweza kuwa imechangiwa na nini ambacho kimetokea kati ya zamani na sasa ambacho kinakufanya kutokuwa kama zamani?

Maelezo yako yakinifu ndio yatakayowaonesha wachangiaji wengine uhitaji wako uliko ili waweze kukushauri ipasavyo.

Karibu sana.
jaman mm n mgen na ningepend kujulishw ni njia gan ni zitumie ili nguv zangu zirud kuw kam zamani
 
Kufanya mazoezi no muhimu kwa afya ya mwili name akili,tuzingatie!
 
mi natatizo linalo nifanya niogope kuwa na mpenz sam time linanifanya nashindwa hata kutongoza nina mwaka waa4 sasa kaco wa tano wa kujichua na masnisha nyeto na naitaji kuacha coz naic kuaribikiwa uume nsaidien juu ya ilo
 
cipendi hii hali sema najikuta nsifanya pale icakali znapo nijia akilin mwangu
 
inadikia hatua uwezo wa kusimisha uume unakuwa hafifu na mm nina haleji na ospitali asa dawa za makemiko czpend naona kama hazna msaana mwilin mwangu
 
Mkuu MziziMkavu heshima yako Kaka mkubwa. Naomba umsome huyu kijana apa chini tafadhali tunahitaji msaada wako hapa. EMT tafadhali upite kipande hii kwa msaada zaidi. 1st AID tafadhali.

kwann uliamua ku2mia hyo njia? Loading,,,,,,,,,,,,,

nilijikutatu

JINSI YA KUACHA KUPIGA PUNYETO HATA KAMA UMEZOEA VIPI HAPA UTAACHA HII NI KWA WAREMBO WANAOPENDA KUJICHUA PAMOJA NA WAKAKA WANAPOPENDA PIGA PUNYETO.

Leo naomba nizungumzie tatizo ambalo nahisi vijana wengi tumekuwa watuhumiwa katika kitendo hiki.

Kujichua ni tabia ya kingono ambayo inapofanywa kwa kiwango kikubwa inaleta matatizo ya kiumbo na kisaikolojia kwa anayefanya tendo hilo. Na katika kipindi cha zama hizi ambazo majarida, vipindi na hata mitandao mingi inaonyesha picha za ngono ndio kunaifanya tabia hii kushamiri kwa kiwango kikubwa.

Kwani vijana wengi wanaingia katika mchezo huu wa kujiridhisha wenyewe bila kujua madhara yatakayokuja baadaye.

Waelimisha rika wengi wamekuwa wakiwaambia vijana kwamba kujichua ndio njia salama ya ngono kwani hatari ya kupata magonjwa kwako haipo na wanaongezea kuwa wafanye kwa kiwango kidogo pale wanapojisikia hamu ya tendo.

Lakini wanasahau kuwaeleza madhara yake pindi inapofanywa kwa kiwango kikubwa na pia wanajua wazi kuwa mara mtu anapoanza tabia hii kuitawala kwa kiwango inakuwa ngumu.

Baadhi ya madhara ambayo unaweza ukayapata ukifanya kwa muda mrefu:
1.Maumivu ya mgongo kwa chini;
2.Kupoteza nywele;
3.Kupungua nguvu za kiume;
4.Kuwahi kumaliza wakati wa tendo;
5.Kupoteza uwezo wa kuona vizuri;
6.Maumivu ya kende;
7.Maumivu ya nyonga;
8.Kuchoka sana;
9.Msongo wa mawazo;
10.Kupoteza kumbukumbu kwa haraka

Dhumuni la makala hii ni kumsaidia yule mtu ambaye tayari anafanya mchezo huu atambue madhara yake na pia afahamu namna ya kujinasua kabla mambo hayajawa mabaya.

Kwa wewe muhusika unatakiwa kuwa na hakika kuwa unaweza ukajinasua katika tatizo lako hili.

Wengi wanaume kwa wanawake waliojaribu kujisaidia kuondokana na hili tatizo wameweza, hata wewe kwako ni hivyo hivyo ikiwa utajitambua tu.Kujitambua ni hatua ya kwanza katika safari yako ya kuacha.

Unatakiwa uamue kuwa sasa unaacha na pindi unapoweka uamuzi huo utakuwa unasaidia kujipunguzia ukubwa wa tatizo.

Lakini inatakiwa uwe na zaidi ya tumaini au tamanio la kutambua kuwa uamuzi wa kuacha ni muhimu kwako. Ni uamuzi tu.
Ukiweka kweli kabisa mawazo yako katika kuliondoa hili tatizo utakuwa na nguvu ya kuweza kuliondoa kabisa na kujiweka pembeni na vishawishi vya kukurudisha katika hiyo tabia.

Utakapo kuwa ushafanya uamuzi wa kuacha anza kufanya yafuatayo:

1.Usiguse wala kuchezea maeneo yako ya siri kwa muda mrefu labda uwe unajisafisha wakati wa kuoga.

2.Tengana na rafiki au marafiki zako ambao unajua wazi kabisa kuwa nao wana tabia hizo kwani usijidanganye kuwa mtaacha wote kwa pamoja kwani mara nyingi kuacha ni juhudi na maamuzi binafsi.

3.Unapokuwa unaoga usikae muda mrefu maeneo hayo jifute na utoke haraka.

4.Lala na nguo inayozifunika sehemu za siri kiasi kwamba sio rahisi kwa wewe kuzigusa mpaka uivue hiyo nguo, hapa itakusaidia kupata muda wa kutafakari kabla hujafanya tendo lolote.

5.Endapo upo kitandani na mawazo ya tendo hilo yakakujia ,nyanyuka na ujaribu kutembea tembea ili kuyapoteza hayo mawazo kichwani mwako.

6.Usisome majarida ya ngono, na kuangalia picha za ngono kwani vitakuchochea urudi katika tatizo.

7.Anza kusoma majarida na makala za mambo mazuri na yenye kuelimisha na itakusaidia kuulisha ubongo taarifa nzuri.
Mathalani unaweza ukaanza tabia ya kusoma vitabu vya dini itakuasidia sana.

8.Sali, lakini wakati wa kusali usiwe mara kwa mara unalifikiria hili tatizo kwani utaendelea kuliweka mawazoni mwako.
Mtazamo wa mtu mwenyewe ndio unaosaidia kuliondoa hili tatizo kwa haraka.

Ukiweza kutambua kwanini umeingia katika hii tabia, na kuyafahamu mazingira yanayokuchochea wewe kuingia huko unatengeneza uwezo wa kuishinda kwa haraka. Tabia hii ya kujiridhisha mwenyewe itakufanya uwe mtu kwa kujisikia na hatia kila mara, kutojiheshimu mwenyewe na kukufanya uendelee pindi unapopatwa na msongo wa mawazo. Na inapelekea unaanza kujiona mdhambi hata kuhudhuria nyumba za ibada kwako inakuwa ngumu.
 
Mkuu MziziMkavu tunakushukuru sana kwa utayari wako na msaada ulioutoa hapa. Naamini wengi watakaopitia michango yako kwa waliokua na tatizo hilo au wanayemfahamu mtu mwenye tatizo hilo, watasaidika sana.

Wishing you only the Best Mkuu. You have been such a resourceful member. We can't be more thankful MziziMkavu. Many thanks to you.

JINSI YA KUACHA KUPIGA PUNYETO HATA KAMA UMEZOEA VIPI HAPA UTAACHA HII NI KWA WAREMBO WANAOPENDA KUJICHUA PAMOJA NA WAKAKA WANAPOPENDA PIGA PUNYETO.
 
Last edited by a moderator:
mi natatizo linalo nifanya niogope kuwa na mpenz sam time linanifanya nashindwa hata kutongoza nina mwaka waa4 sasa kaco wa tano wa kujichua na masnisha nyeto na naitaji kuacha coz naic kuaribikiwa uume nsaidien juu ya ilo

sasa mjombaa miaka mi 5 huoni kama umefaulu? unataka kujiingiza kwenye shida kuanza wanawake hizo gharama utaziweza? miaka hiyo ulikukuwa unajihudumia mwemyewe tu kama Ni bangi yako ukivuta unwatupa hao watoto bafuni kidhenzi! endelea mjombaa ukiharibika hakuna mtu atakuuliza! kuliko kupandisha mabega Lea ukimwi!
 
Back
Top Bottom