Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo hapo sasa[emoji23] [emoji23]
anauliza watu hawajalala kumbe hata yeye hajala....
hahaha,Post yako + avi, una risiti ya malipo ya hili tangazo kweli? And most importantly, do these methods really sell?
hahaha,
kwamba watu wanafukuzia wasichana wasiofikishwa kijanja sio?
Habari za muda huu wakuu, kwa kifupi ni hivi: mara nyingi nikiwa kwenye mapenz huwa nachukua muda sana kumaliza, kuna muda hadi huwa naulizwa humalizi? Hali hii kwangu inanisumbua sana kwani kila nkitaka kulala na mwanamke nakua na mawazo hadi inanipa hofu na kutamani kuahirisha zoezi.
Swali langu ni kwamba yawezekana hili ni tatizo? Je kama ni tatizo nini suluhisho lake naombeni msaada tafadhari
Kivutio kabisaaa, yaani yeye ndo mmoja kati ya milioni moja. Sijui kuna mwingineeWewe ni hazina, utunzwe
Kawaida hio kama hujapiga K na ulikuwaga mtu wa mazoezi muda mrefu. Misuli yako iko imara mno. Hisia pia huwaga mbali mwanzoni ikiwa kama ulikuwa mpiga puli mzuri dizaini unakuwa na usugu flani hivi ila ukizoea utelezi wa K mwili utaji adjust.
Sio ugonjwa mkuu ukienda ukazoea kupiga piga uloto kwa kitambo flani misuli ita relax utashangaa wazungu ni dakika 0 hao hapa. Kazi inayofuata ni kujifunza kukontrol mzunguko wako ili usimwage fasta tena ndio mtihani.
Mind you wanawake wengi wanapenda kutiwa mda mrefu, wanafurahia mwanaume anaechelewa maana huwaakikishia wao kufika kileleni hata kama asipofika ila huridhika na ile raha anayoipata kwa muda mrefu zaidi tofauti na wale masela wanaomwaga fasta huwa wanawakatishia utamu mwanzoni tu. So usiogope ndugu una soko sana ukimpata mwanamke anaekupenda atainjoy zaidi achana na hao malaya wa kununua.!
Hapo tatzo ni hisia na aina ya mwanamke,, Hilo swali lake tu ni 7bu tosha kuchelwaHabari za muda huu wakuu, kwa kifupi ni hivi: mara nyingi nikiwa kwenye mapenz huwa nachukua muda sana kumaliza, kuna muda hadi huwa naulizwa humalizi? Hali hii kwangu inanisumbua sana kwani kila nkitaka kulala na mwanamke nakua na mawazo hadi inanipa hofu na kutamani kuahirisha zoezi.
Swali langu ni kwamba yawezekana hili ni tatizo? Je kama ni tatizo nini suluhisho lake naombeni msaada tafadhari
MmmmmmhhKwani unaelekea wapi? Kama vipi rudi kaka yangu usijichoshe bure na hizi barabara zetu za mwendokasi foleni kali. Rudi tu mwaya husichelewe kufika uendako[emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Punyeto sifanyi mkuu,Kwan huwa unachukua mda gan? Inawezekna ni ttzo
Unafanya punyeto?
Huyo mwanamke unayelala nae unampenda?
Je, anakufanyia vile vitu vitazidi kuamsha hisia zako?
MmmmmhhhKivutio kabisaaa, yaani yeye ndo mmoja kati ya milioni moja. Sijui kuna mwinginee
Dakika 45 hadi 60, hali hii mimi inanikera sanamuda mrefu ni kiasi gani? dk 5, 15, 39, 45, 60,120?
Toa mchango wako mkuu, hali hii inanifanya mda mwingine naogopa kula tundaWewe ni hazina, utunzwe
Shukran sana kwa ushaur wako mkuuKawaida hio kama hujapiga K na ulikuwaga mtu wa mazoezi muda mrefu. Misuli yako iko imara mno. Hisia pia huwaga mbali mwanzoni ikiwa kama ulikuwa mpiga puli mzuri dizaini unakuwa na usugu flani hivi ila ukizoea utelezi wa K mwili utaji adjust.
Sio ugonjwa mkuu ukienda ukazoea kupiga piga uloto kwa kitambo flani misuli ita relax utashangaa wazungu ni dakika 0 hao hapa. Kazi inayofuata ni kujifunza kukontrol mzunguko wako ili usimwage fasta tena ndio mtihani.
Mind you wanawake wengi wanapenda kutiwa mda mrefu, wanafurahia mwanaume anaechelewa maana huwaakikishia wao kufika kileleni hata kama asipofika ila huridhika na ile raha anayoipata kwa muda mrefu zaidi tofauti na wale masela wanaomwaga fasta huwa wanawakatishia utamu mwanzoni tu. So usiogope ndugu una soko sana ukimpata mwanamke anaekupenda atainjoy zaidi achana na hao malaya wa kununua.!
Dah kumbe anateseka hivyo, mondi anazingua fursa hizooo.Ukimpata Zali dem Diamond atakuganda balaa Zali analalamika jamaa anapiga kimoja wazungu haoo!
Ngoja mfollow Zali kwenye Insta