Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

ni sawa na kuwa porini na mwenzako, wewe unakunya na yeye anakunya halafu unamshangaa eti dooh wewe mbona unakunya porini? wakati wote mmechuchumaa mnakunya.
Wewe umeona hamna mfano mwingine wowote ila huo wa kunya ndio unamfaa
 
Habari za muda huu wakuu, kwa kifupi ni hivi: mara nyingi nikiwa kwenye mapenz huwa nachukua muda sana kumaliza, kuna muda hadi huwa naulizwa humalizi? Hali hii kwangu inanisumbua sana kwani kila nkitaka kulala na mwanamke nakua na mawazo hadi inanipa hofu na kutamani kuahirisha zoezi.

Swali langu ni kwamba yawezekana hili ni tatizo? Je kama ni tatizo nini suluhisho lake naombeni msaada tafadhari
Labda huna feelings na mpz wako sababu mtu ukiwa na hamu sana na mwenzio utakojoa haraka then ndo mnahamua mpigane goli la pili.mimi ninavyojuwa ukiwa na hamu na babe's wako na mahaba mnayopeana huchukui muda sababu anakuvutia. Labda hujapata wa kukuvutia
 
Usimuite msela wewe hao WANAUME wa hivyo ni adimu saana miaka hii
Dah mbona nami nina tatizo hilo hilo Sakayo anyway asante kwa kunifahamisha mkuu kuwa ugonjwa wetu ni dili, huyo ni mwanaume mwenzangu na mgonjwa mwenzangu.
 
Dk 45 had 60 MBNA kawaida jombaa maajabu gan apo
Nikweli mkuu kipiga hizo dakika nikawaida,lakini mie kinachonikera zaidi nipale umepopiga mda mrefu unaanza kuambiwa Maliza nimechoka.Ukiwatafuta wazungu waje umalize hawaji,mwishoni papuchi inaanza kuwa kavu.kama huna vilaishi karibu inakuwa heka heka,btw kungonga muda mrefu hasa demu akijipimia saizi akiwa juu we chini inaraha yake.
 
Dah mbona nami nina tatizo hilo hilo Sakayo anyway asante kwa kunifahamisha mkuu kuwa ugonjwa wetu ni dili, huyo ni mwanaume mwenzangu na mgonjwa mwenzangu.
Hahahaaaa, mbona sijakuona jf doctor mkuu au ndo umeanza kuugua mchana huu[emoji125] [emoji125]
 
hata Mimi kuna wakati mpak linavimba kwa kusugua hata na hivyo demi wangu anapenda sana
 
Back
Top Bottom