Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Punguza kula vyakula vya mafuta

Kula matunda zaidi

Asali na Mdalasini wa kusagwa Tengeneza chupa moja ya Lita 1 Kunywa vijko 2 x3
Kunywa Maji mengi
 
Asanta sana... huyu beberu atakuwa si rizki wallah... hebu leta kisu tumchinje...
Asprin naona hauna msaada wowote kwa kujaribu kunisaidia hili tatizo naomba waachie dawa zingine zinijaribu kunisaidia
 
Ndg zangu naombeni mnisaidie kwa hili jambo ambalo huwa linanitokeaga katika 6×6 pale mjengoni huwa nikipiga shuti langu moja tu jamaa anasizi as a amekula Ngada(Unga) sasa huwa nashindwa wapi kufikia hat triki?

My take: lakini kavu lazima mtoto atengenezwe but huwa siriziki.....
Kula matikiti sana halafu fanya mazoezi ya kukimbia na viungo kama push up.

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Jibu kwa ukweli wako toka moyoni ni tajie vyakula na vinywaji vya aina tatu unavyovipenda sana kuvitumia kisha nijue naanzia wapi kukusaidia.
 
Jibu kwa ukweli wako toka moyoni ni tajie vyakula na vinywaji vya aina tatu unavyovipenda sana kuvitumia kisha nijue naanzia wapi kukusaidia.
Soda Pepsi kila cku, juice ya maendi week mara moja, maji lita 2kila siku
 
Back
Top Bottom