Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Jamani wale wanao jua maswala ya mahusiano msaada kama kuna people anajua dawa ya kuongeza nguvu za kiume na hamu asaidie maana kuna tatizo hapa
Yani unapiga show moja tu hamu inakata kabisaa hadi unaweza tamani kumfukuza mwenzako aondoke.pia na jamaa analala masaaa kadhaa ndo anakuja kushutuka tena
Mwenye utaalam wa mambo atusaidie
Natanguliza shukrani kwa msaada na mawazo yenu
 
Make sure you are psychologically fit
 
I'm not a man,lakini naweza kukushauri kitu. Ukiwa kwenye sex epuka mawazo yatakayokuondolea hamu yote,then Kama unapata hali ya kutotamani tena koala hasira ya kuhisi umfukuze hiyo ni psychology thing,may be hakuridhishi na unamfikiria Fatuma au Anna ambae ni mtamu zao kwako na unaensa nae round 4 bila kuchoka.( think twice and let these feelings slide away),mengine mazoezi,Kama ni member wa chaputa Acha,pia chakula. Sio unakula chips mayai unapanda kifuani kwa watu,utajafia huko vifuani. Unless other wise consult a doctor. Isijekuwa umeanza kupungukiwa nguvu za kiume. That's all I have.
 
TIBA SAHIHI YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME / TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa nguvu za kiume ni Ile Hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa na pia hushindwa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasahaTatizo hili linawakabiri wanaume wengi duniani karibia 46% ya wanaume wanasumbuliwa na tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume na hivyo kuwa na athari nyingi sana na kusababisha ndoa za watu kuvunjika na idadi ya uchepukaji kuongezekaMara nyingi mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume anakua Hana uwezo wa kumridhisha mwanamke Kwenye tendola ndoa na hivyo kuwa chanzo cha mahusiano na ndoa nyingi kuvunjika

CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Vyanzo vya upungufu wa nguvu za kiume ni vingi sana navyo ni÷
1)UPIGAJI PUNYETO MARA KWA MARA
2)MSONGO WA MAWAZO
3)MAZINGIRA YASIYORIDHISHA KUFANYA TENDO LA NDOA
4)ULEVI ULIOKITHIRI
5)KUPOOZA/KUUGUA STROKE
6)KUUGUA KISUKARI KWA MUDA MREFU
7)ULAJI MBOVU WA VYAKULA HASA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI
8)KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI eg, viagra, estrogen, diuretic, tranquillizers, digoxin, NK 9)KUUMIA KWA KINENA (GROIN)
10)KIWANGO KIDOGO CHA TESTERON
11)KUUGUA CHANGO LA KIUME AU NGIRI
~
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMEMwanaume anayekabiliwa na tatizo Hilo la nguvu za kiume huwa na Dalili zifuatazo
»»HUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA ~huwa Hanauwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa, tatizo hili husababishwa na msongo wa mawazo
»»KUTOKUA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME
~Hali hii hutokea kutokana na kutokuwepo kwa mzunguko wa damu wa kutosha Kwenye uume
»»UUME HUSINYAA NA KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA
~uume wa mwanaume husinyaa na kuwa mdogo na kurudi ndani hivyo huwa Hana uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa, Hali hii husababishwa na upigaji punyeto kwa muda mrefu
»»KUFIKA KILELENI MAPEMA ~mwanaume hushindwa kufanyamapenzi kwa dakika hata 15 hivyo huwahi kupeez ndani ya dakika 5
»»KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA ~mwanaume hushindwa kurudia mzunguko wa pili hivyo akifika mzunguko wa kwanza anakuwa Hana uwezo wa kuendelea, Hali hii husababishwa na kutokua na msukumo wa damu wa kutosha

=»MADHARA YA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME~KUSABABISHA KUPATA UKIMWI ~hii hutokana na wanawake kutokuweza kuvumilia tatizo hili na hivyo kutoka nnje ya ndoa kutimiziwa haja zake~
»»KUWA MLEVI ~Mara nyingi wanaume wenye tatizo hili hukata Tamaa mapema na kuamua kujihusisha na pombe kwa madai ya kupunguza stress~
»»KUVUNJIKA KWA MAHUSIANO AU NDOA ~mwanamke hushindwa kuvumilia tatizo hili na hivyo kuamua kuvunja mahusiano au ndoa kwa madai ya kutopewa haki yake ya msingi~
»»KIFO ~baadhi ya wanaume hufikia hatua ya kujiua kutokana na kusumbuka sana na tatizo hili kwa muda mrefu hvyo hujionaHana thamani

JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU

Jambo zuri ni kuzingatia afya yako na kujiwekea balance diet
»KULA UGALI WA DONA KILA SIKU
»KUNYWA SUPU YA PWEZA MARA KWA MARA
»FANYA MAZOEZI MARA KWA MARA
»EPUKA VYAKULA VYENYE MAFUTA
»ACHA KUJIPIGA PUNYETO
»ACHA KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI (VIAGRA)
»PUNGUZA KITAMBI NA MWILI

[emoji117]Namba 11[emoji736]
 
Thanks mamii blessed
 
Sio vzr mkuu[emoji1] hayo maisha yatanoga kweli??,hizo nguvu zina umuhimu wake bhanaa...labda kama hakuwa amezaliwa nazo kabisaa...

Mshauri tena!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Aksante mkuu
 
utasumbuka tu kikubwa kula vyakula vinavyofanana na hiyo jinsia yako mfano ndizi,matango hakika hutajuta utapiga shoo mpak ushindwe kutembea
 
inaonekana ulikuwa fundi sana kwenye punyeto... sasa cha kukushauri ukiwa na demu ndani kaa pia na sabuni... jamaa akilala paka sabuni mkononi... utaona mwenyewe anaamka.. unabadili gia baada ya nyeto unapiga show!!!
 
Unajua vijana nashindwa kuwaelewa. Unasema ukipiga kimoja hamu inaisha kabisaaaaaa,,, sasa kama hamu imeisha unataka nini tena? Na mwanamke mwenyewe sio mkeo, mlipe hela yake aondoke.
 
Ndugu jamaa zangu,
Kwanza kabisa niseme kwamba mm sio daktar
wala si mfanyabiashara wa madawa na
sijawahi fanya hivyo wala kufikiri kufanya hivyo.
Lakini nimeamua kuleta hii ishu hapa kwa
manufaa ya watu wenye tatizo na uhitaji wa
hiki nitacho kieleza, almost FREE!!
Nilivokua chuo kuna room mate wangu mmoja
alitoswa na mabinti kama 5 hivi. Mm na
wenzangu hatukujua n kw nn jamaa alikua
akitoswa na kila binti.
siku moja yule jamaa alinifungukia kwamba
anatatizo la UUME WAKE KUWA MDOGO SANA
HATA UKISIMAMA na HANA NGUVU ZA KIUME.
yaan akianza tu kumchezea binti, akiingiza tu
bac anamwaga! Kwakweli nilimuonea huruma
na aliponionesha maumbile yake nlishangaa
kuona udogo ule.
Ndipo nlikumbuka kuwa kule ziwa nyasa
nlikokulia kwa mjomba, nliwahi ckia watu
wanasema kuna mzizi mmoja hiv watoto
hatutakiwi kula kwan tutakua na uume mkubwa
sana. Ilikua n miaka ya nyuma sana enzi hizo
nikiwa darasa la pili.
Kutokana na kuona tatizo la huyu jamaa
niliwaza kama ile mizizi bado itakuwepo? Na
kama ipo nitaendaje nikachimbe?
Mwez wa pili mwaka huu kulitoke a mcba kule
nyasa na nlilazimika kwenda kuwakilisha familia
kwan n mm tu ndo nlikua cpo shule. Nlivofika
kule nlikuta ile mizizi ipo japo kwa uchache
sana kwan milima mingi imepukutika. Kwa siri
nilichimba na kuweka kwenyebegi kiasi kdogo
cha ile mizizi. ckutaka kuonekana maana watu
wangenihic vbaya.
Wakati narud nlivofika Njombe nlimpigia jamaa
yule ambaye alikua mbeya na tukakutana
makambako ambapo nilimpa na kumwelekeza
matumizi kuwa atafune kila cku anavolala.
Huwezi amini kilichotokea. Baada ya siku kama
24 hv kupita jamaa alinipigia na kusema
ameona maajabu ya ile dawa kwan kle ki shaft
kimeongezeka kama inch 2 na nusu hiv, na
imejaa na inanguvu.
Nilimkataza kuendelea kutafuna maana hatuna
kipimo cha dawa ili isije ikazidi. nilimwambia
aache ili ile aliyotafuna iendelee kufanya kazi.
Lakini mpaka juzi nimekutana nae, yaan kanizidi
hata mm na anasema yuko fit kabisa na kanipa
elf 16 kunishukuru, na vile vimizizi bado
amebakinavyo vingine.
Sasa, nimeamua kusaidia watu wenyeshida
kama hizo for FREE kwan mizizi tumepewa na
Mola bure. Kama unatatizo la nguvu za kiume,
uume mdogo na mwembamba au shida
nyingine, Just ni PM nitakupa maelekezo.
Usihangaike kwa matapeli maana hata yule
jamaa alihangaika sana tu na kupoteza hela
nyingi bila kufanikiwa.
MIMI SIIUZI HII DAWA. ILA INAPATIKANA
MBALI. NI HUKO MANDA ZIWA NYASA. SO,
TUTACHANGIANA TU KIASI KIDOGO SANA
KWAAJILI YA NAULI ILI NIKIPATA NAFASI
NIENDE NIKACHIMBE.
PIA NINA WAZO LA KUIHIFADHI ILE MIMEA
KWANI INAPOTEA. IKIWEZEKANA,
TUSHIRIKIANE KUIHIFADHI HATA KWA
KUIOTESHA HUKO MAPORINI ILI IENDELEE
KUWEPO. NITAFURAHI IWAPO MTANIUNGA
MKONO! ni PM kwa maelezo au msaada zaidi.
AHSANTENI
 
Mazoezi ni muhimu sana, sio unakurupuka alfsjiri then job then bia halafu usiku unataka mzigo u cant. I ussually play football on weekends na nikitoka huko shemeji yenu shughuli yake anaijua. Ila ikitokea nikapuuzia for some weeks basi perfomance hushuka sana. piga tizi walau vipushups tu asubuhi
Mimi nina umri wa miaka 26 tu ila nimekata tamaa kwa sababu nashindwa kabisa kushiriki tendo la ndoa na mwenzi wangu ... nimetumia dawa za wamasai Zaidi ya mara tatu ila bado tatizo liko palepale ... msaada tafadhalini wadau
 
Ndugu jamaa zangu,
Kwanza kabisa niseme kwamba mm sio daktar
wala si mfanyabiashara wa madawa na
sijawahi fanya hivyo wala kufikiri kufanya hivyo.
Lakini nimeamua kuleta hii ishu hapa kwa
manufaa ya watu wenye tatizo na uhitaji wa
hiki nitacho kieleza, almost FREE!!
Nilivokua chuo kuna room mate wangu mmoja
alitoswa na mabinti kama 5 hivi. Mm na
wenzangu hatukujua n kw nn jamaa alikua
akitoswa na kila binti.
siku moja yule jamaa alinifungukia kwamba
anatatizo la UUME WAKE KUWA MDOGO SANA
HATA UKISIMAMA na HANA NGUVU ZA KIUME.
yaan akianza tu kumchezea binti, akiingiza tu
bac anamwaga! Kwakweli nilimuonea huruma
na aliponionesha maumbile yake nlishangaa
kuona udogo ule.
Ndipo nlikumbuka kuwa kule ziwa nyasa
nlikokulia kwa mjomba, nliwahi ckia watu
wanasema kuna mzizi mmoja hiv watoto
hatutakiwi kula kwan tutakua na uume mkubwa
sana. Ilikua n miaka ya nyuma sana enzi hizo
nikiwa darasa la pili.
Kutokana na kuona tatizo la huyu jamaa
niliwaza kama ile mizizi bado itakuwepo? Na
kama ipo nitaendaje nikachimbe?
Mwez wa pili mwaka huu kulitoke a mcba kule
nyasa na nlilazimika kwenda kuwakilisha familia
kwan n mm tu ndo nlikua cpo shule. Nlivofika
kule nlikuta ile mizizi ipo japo kwa uchache
sana kwan milima mingi imepukutika. Kwa siri
nilichimba na kuweka kwenyebegi kiasi kdogo
cha ile mizizi. ckutaka kuonekana maana watu
wangenihic vbaya.
Wakati narud nlivofika Njombe nlimpigia jamaa
yule ambaye alikua mbeya na tukakutana
makambako ambapo nilimpa na kumwelekeza
matumizi kuwa atafune kila cku anavolala.
Huwezi amini kilichotokea. Baada ya siku kama
24 hv kupita jamaa alinipigia na kusema
ameona maajabu ya ile dawa kwan kle ki shaft
kimeongezeka kama inch 2 na nusu hiv, na
imejaa na inanguvu.
Nilimkataza kuendelea kutafuna maana hatuna
kipimo cha dawa ili isije ikazidi. nilimwambia
aache ili ile aliyotafuna iendelee kufanya kazi.
Lakini mpaka juzi nimekutana nae, yaan kanizidi
hata mm na anasema yuko fit kabisa na kanipa
elf 16 kunishukuru, na vile vimizizi bado
amebakinavyo vingine.
Sasa, nimeamua kusaidia watu wenyeshida
kama hizo for FREE kwan mizizi tumepewa na
Mola bure. Kama unatatizo la nguvu za kiume,
uume mdogo na mwembamba au shida
nyingine, Just ni PM nitakupa maelekezo.
Usihangaike kwa matapeli maana hata yule
jamaa alihangaika sana tu na kupoteza hela
nyingi bila kufanikiwa.
MIMI SIIUZI HII DAWA. ILA INAPATIKANA
MBALI. NI HUKO MANDA ZIWA NYASA. SO,
TUTACHANGIANA TU KIASI KIDOGO SANA
KWAAJILI YA NAULI ILI NIKIPATA NAFASI
NIENDE NIKACHIMBE.
PIA NINA WAZO LA KUIHIFADHI ILE MIMEA
KWANI INAPOTEA. IKIWEZEKANA,
TUSHIRIKIANE KUIHIFADHI HATA KWA
KUIOTESHA HUKO MAPORINI ILI IENDELEE
KUWEPO. NITAFURAHI IWAPO MTANIUNGA
MKONO! ni PM kwa maelezo au msaada zaidi.
AHSANTENI
wewe uko sehemu gani maana mimi niko dsm na nna shida sana ya kushiriki tendo mpaka sasa nimeachwa na demu wangu kisa na perform chini ya kiwango!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom