Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
ndio mara kwanza kununua umeme tangu ufungiwe meter mita hiyo mpya au hilo ttzo limetokea ghafla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
linatokea kwa mara ya pili mwezi sasa hatuna umeme ofisinindio mara kwanza kununua umeme tangu ufungiwe meter mita hiyo mpya au hilo ttzo limetokea ghafla
mara nyingi kugoma huwa inatokana na kubadilika TARIFF INDEX nenda tanesco mkachukue TARIFF mpya then umeme utaingia hata TOKEN zote zilizokataa zitakubalilinatokea kwa mara ya pili mwezi sasa hatuna umeme ofisini
hizo meter ni nzuri sana ukizijulia na zikituria sisi mwanzo huku tuliipata fresh yake nenda rudi tanesco ka vile sijui nini
araf sometyme tanesco pumbavu sana wanakufungia kitu kipya araf hawakupi hata maelezo ya kina utakuta hapo tatzo dogo sana ka sisi tulikosa umeme week 2 nzima nimeenda tanesco ka mara 3 araf kumbe ishu yenyewe kumbe pale kwenye socet unatakiwa upaache SWITCH ON ndo umeme uingie yaan nilikeleka sana kutusumbua kote kule kulala giza araf ishu yenyewe ndogo
wanaudhi sana
Hahahaha......pole Na weweDuh umenichekesha sana. Yalishawahi nikuta hayo, zile mita za mwanzo ulikuwa ukinunua umeme ukiingiza namba ukimalizia namba ya mwisho umeme unakuwa umeingia. Nilipohamia kwangu nikafungiwa mita na ule umeme wa kuanzia ulipoisha nikanunua nilipoenda ingiza ukawa hauingii tukahangaika sana, tukashinda bila umeme jumapili yote hadi jumatatu nilipoenda tanesco wakanielekeza ukimaliza kuingiza namba bonyeza #.. 🙁🙁. Sikumbuki kuona karatasi ya maelezo ya jinsi ya kutumia mashine hiyo ya Luku.
Lala, kesho uwafate wausika, bila ivo, faini na kutangazwa kwa wizi waumeme utausika!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hapo namba 3 nifafanulie mkuu...umeme hamna kabisa umezima luku imeisha je nichomeke tu? Ila betri zinafanyakazi ni mpya...
Iiiiiiiii tayariLala, kesho uwafate wausika, bila ivo, faini na kutangazwa kwa wizi waumeme utausika!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
have you given out the solution .........?hizo meter ni nzuri sana ukizijulia na zikituria sisi mwanzo huku tuliipata fresh yake nenda rudi tanesco ka vile sijui nini
araf sometyme tanesco pumbavu sana wanakufungia kitu kipya araf hawakupi hata maelezo ya kina utakuta hapo tatzo dogo sana ka sisi tulikosa umeme week 2 nzima nimeenda tanesco ka mara 3 araf kumbe ishu yenyewe kumbe pale kwenye socet unatakiwa upaache SWITCH ON ndo umeme uingie yaan nilikeleka sana kutusumbua kote kule kulala giza araf ishu yenyewe ndogo
wanaudhi sana
Kwangu Mimi walikuja wao wa emergence walishindwa then wakaniambia watakuja watu wamita kwa kutumiaTB no ileile ,siku ya pili nikaenda kuwashitua tena yaani j5,wakanijibu bado jamaa wapo bize ila nisubiri watakuja ,nimepiga simu mala haipatikani na ikipatikana kanapokea kadada kwa mapozi makubwa ,then kanakuambia mafundi watakuja kimya mpaka Leo hii,aisee yaani ninahasira na hawa jamaa we acha tu.have you given out the solution .........?
or giving us your story ......
no conclusion u have made joh
Mita yangu, inhemeter, The same problem, nisaidieHapo namba 3 nifafanulie mkuu...umeme hamna kabisa umezima luku imeisha je nichomeke tu? Ila betri zinafanyakazi ni mpya...
Maelezo mazuri sanaMkuu mita za zamani na hizi kuna tofauti kubwa sana.
1. Mita za zamani ni mpaka msoma mita aje na mteja apigiwe hesabu ili kujua bill yake wakati za sasa ni prepaid.
2. Mita za sasa zimeongeza mapato na kupunguza madeni kwakua mita za zamani baadhi ya wateja walikuwa hawalipi kwa wakati.
3. Mita za sasa zinapunguza idadi ya wafanyakazi kwakua hakuna haja ya kuwa na msoma mita kwahiyo kuongeza kipato kwa shirika tofauti na za zamani
4. Faida kubwa ya mita za sasa ni kuwa zinahisi hitilafu (short) ya umeme kwa haraka sana na zina fungua relay ili kutoa umeme na kuepusha nyumba kuwaka moto. Hii pia hutokea pale fundi aliyefanya wiring akikosea kidogo au kuna sehemu ina lose connection basi meter inagoma kabisa kwakuwa ina sense short wakati mita ya zamani haiwezi kufanya yote hayo.
5. Hizi mita za sasa unapotaka kuiba umeme kupitia kwenye mita ni vigumu sana kwakua kuna cover ambalo lazima utoe la ukilitoa hilo automatic kuna button unakuwa ume open so mita inahisi umeme unaibiwa kwahiyo basi inakuwa kwenye 'tempering mode' na huwezi kutoa mpaka uwaone wahusika wakati mita za zamani hazifanyi hivyo.
Note: Hapo namba 4 unaweza ukawa na tatizo mita ikazima kuokoa nyumba yako lakini kwa kutokuelewa unaanza kuwalaumu au kuwatukana tanesco kumbe ulitakiwa kuwashukuru. Hata hivyo tanesco wanatakiwa watoe elimu ya kutosha hasa kupitia vipeperushi kwakuwa ana kwa ana inakuwa vigumu mara nyingi wakati wanaenda kufunga mita huwakuta watoto tu.
Hata wakiviacha vipeperushi bado sisi watanzania ni wavivu kusoma hata ukurasa mmoja tu. Muhimu ni kufuatilia kipindi cha TANESCO na maendeleo binafsi nimejifunza mengi sana.
Mita yako na wewe imefanyejeMita yangu, inhemeter, The same problem, nisaidie