Suluhisho: Tatizo la mita ya luku kugoma kupokea token

ndio mara kwanza kununua umeme tangu ufungiwe meter mita hiyo mpya au hilo ttzo limetokea ghafla
 
nikiingiza namba ya kufungulia meter inasema reject 2, nikiingiza token inasema reject 1
 
Hapa kwangu umeme unashindwa kuwasha mahine ya kuchomelea, lakini nikiweka taa zinaungua maramoja, mafundi wameangalia wakiondoka hawarudi tena, nipo gizani kwa muda sasa. Msaada wenu utatoa mwanga katika tatizo hili.
Kichoi, Mtulivu, SAA MBOVU.
 
Chakushangaza nyumba zingine katika line hii zinawasha vizuri hata mashine inafanya kazi.
 

Duh umenichekesha sana. Yalishawahi nikuta hayo, zile mita za mwanzo ulikuwa ukinunua umeme ukiingiza namba ukimalizia namba ya mwisho umeme unakuwa umeingia. Nilipohamia kwangu nikafungiwa mita na ule umeme wa kuanzia ulipoisha nikanunua nilipoenda ingiza ukawa hauingii tukahangaika sana, tukashinda bila umeme jumapili yote hadi jumatatu nilipoenda tanesco wakanielekeza ukimaliza kuingiza namba bonyeza #.. 🙁🙁. Sikumbuki kuona karatasi ya maelezo ya jinsi ya kutumia mashine hiyo ya Luku.
 
Hahahaha......pole Na wewe

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Hapo namba 3 nifafanulie mkuu...umeme hamna kabisa umezima luku imeisha je nichomeke tu? Ila betri zinafanyakazi ni mpya...
Lala, kesho uwafate wausika, bila ivo, faini na kutangazwa kwa wizi waumeme utausika!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
have you given out the solution .........?
or giving us your story ......
no conclusion u have made joh
 
have you given out the solution .........?
or giving us your story ......
no conclusion u have made joh
Kwangu Mimi walikuja wao wa emergence walishindwa then wakaniambia watakuja watu wamita kwa kutumiaTB no ileile ,siku ya pili nikaenda kuwashitua tena yaani j5,wakanijibu bado jamaa wapo bize ila nisubiri watakuja ,nimepiga simu mala haipatikani na ikipatikana kanapokea kadada kwa mapozi makubwa ,then kanakuambia mafundi watakuja kimya mpaka Leo hii,aisee yaani ninahasira na hawa jamaa we acha tu.
 
Naona hili swala linawapa shida, msiwe na shaka lakini, ninawatengenezea software ya kumonitor umeme, kuanzia kulipia luku kwenye smartphone hadi kuangalia kila kifaa kinavyotumia umeme, hadi recommendation simu inakupa kua ukizima kitu flani uta-save kiasi flani. Hutogusa sijui remote wala nini tena, simu yako itamaliza kila kitu.
 
Maelezo mazuri sana
 
Mm yangu haingii token zasema used kila niknunua tatzo nn
 
Msaada wa kujua short cut keys kwenye mita ya wasion WHCi04
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…