Suluhisho: Tatizo la mita ya luku kugoma kupokea token

Msaada please yangu nimeambiwa mita imejilock kufungua mpk wanitumie namba sasa nina wiki nikiwauliza Tanesco wanasema watanitumia tu ila kimya nini cha kufanya?
 
Bado tunasubiri app yako.
 
Mkuu ninasiku mbili umeme kwetu hakuna ila kwa jirani unawaka Sasa nimejaribu kununua betri Mpya nikatia umeme zimeingia unit 37main switch iko on but umeme bado hauwaki nifanyaje
 
Mkuu ninasiku mbili umeme kwetu hakuna ila kwa jirani unawaka Sasa nimejaribu kununua betri Mpya nikatia umeme zimeingia unit 37main switch iko on but umeme bado hauwaki nifanyaje
Tatizo lako kama langu tu Mie nina wiki mbili now kesho narudi tena taa ya nesco
 
Kwa tatizo hilo inaonesha hua hufuti zile token ukisha jaza inatakiwa uwe unafuta zile meseg ambzo hua zinabaki kwenye limont yako
 
Hakikisha betri zako zina nguvu

Leo tarehe 30 - 1 - 2020 tokea saa mbili nimehangaika sana kuingiza luku ila ilikuwa inagoma, nimeenda hata kwa jirani wawili kuingizia ila imegoma, baada ya hapo nikakata tamaa, Nimerudi kwangu saa tatu nikaona labda tatizo ni betri, basi nikazing'ata betri ili ziongezeke nguvu nikaziweka kwenye mita, nikaingiza namba kitu kikajibu "good" na umeme ukawaka.

Nunua betri mpya au ziminye hizo betri kwa kuzing;'ata na meno, hakikisha umezifunga kwenye kitambaa kama utazibana kwa kuzing'ata na meno maana zinaweza kupasuka unapozing'ata na zikipasuka zina sumu kali sana
 
Hii ya kuzing'ata Ni new innovation,weka patent
 
Hii ya kuzing'ata Ni new innovation,weka patent
😂😂 Kizazi hiki hakiwezi kujua taabu tukizopitia wakongwe, enzi hizo redio za betri ndio zilikuwa kitovu kikuu cha kupata habari na zilitumia betri, zikiisha betri kitu cha kwanza ilikuwa lazima uziponde na mawe zikusogeze kwa siku mbili tatu kabla hazijaisha nguvu kabisa
 
Thank you mkuu.
Ni ya siku nyingi lkn leo imenisave.asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nielekeze plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…