Wazee msaada tafadhali, mita yangu ni zile za ukutani (achana na hizi za soketi/ kutumia betri)... Sasa toka juz kila nikijaribu kuingiza token inaniandikia REJECTED, shida itakuwa n nini? Au nifanyaje ili zikubali? Maana umeme unakaribia kuisha huku,