Suluhisho: Wanandoa Wanapochokana (Sex Rut)

Ila naiogopa sn hii stage ingawa bado sijaoa.Nadhani hata ukiwa na binti/mshikaji Kwa muda mrefu hali hii utaipata.Ugumu ni suluhisho lake ni lipi?
 
Ukweli mchungu bro,asilimia kubwa ya ndoa,hii kitu IPO,
 
ndio maana sitaki kuoa kwa sababu ya kukosa iyo hamu ya tendo
 
Ila naiogopa sn hii stage ingawa bado sijaoa.Nadhani hata ukiwa na binti/mshikaji Kwa muda mrefu hali hii utaipata.Ugumu ni suluhisho lake ni lipi?

Tatizo ni kuishi kwa mazoea.. mambo yale yale daily. Ni vema kutoana out walau hata mara moja moja ili kubadilisha mazingira.

 
Kuchokana mapema kuna sababishwa na vitu vingi....lakini kikubwa huwa matarajio yaliyopitiliza baina ya wanandoa!!!....

Wanandoa wanatakiwa wasiwe na ratiba maalumu ya kufanya tendo la ndoa...!!!!

Kule tu kuwa na ratiba maalumu kunaondoa msisimko wote wa kufanya mapenzi....!!!

Unatakiwa mpenzi wako unamfanyia surprise wakati mwingine hata akiwa....kwenye dressing table anajipamba ghafla tu unamvamia!!!!!!.....

Wanadamu wanapenda surprises kwa kuwa husisimua sana!!!!.....

Hakuna mtu ambaye anasisimka kwa jambo ambalo anatarajia kulipata!!!!....

Hakikisha ratiba yako inakuwa roughly na sio ya kutabirika kwa mwenza wako!!!!!

Wengine wanafanya mpaka kwenye bustani huko kwa wenye maeneo makubwa!!!!!....

Wengine kwenye magari yao!!!!!.....

Wanandoa wengi wanakosea kwa kufuata taratibu hii inapelekea mke au mumeo kukukariri na hatimaye kukosa msisimko na wewe!!!!!......

Ikiwezekana hata wiki mbili mnamaliza mpaka mmoja amdai mwenzie!!!!
 
Ukiachilia kwenye ngono upande gani mwingine tunaweza kuurekebisha ili kuepuka hii hali?
 
Ukiachilia kwenye ngono upande gani mwingine tunaweza kuurekebisha ili kuepuka hii hali?
Inategemea misingi ya ndoa yenu imejengwa kwa nguzo gani..!!!?

Kuna anaolewa au kuoa mtu kutokana uwezo wa huyo mtu kufanya ngono!!!!

Kuna mtu anaolewa au kuoa kutokana manufaa ya kiuchumi anayopata kwa mwenzi wake!!!!

Kuna mwingine anaoa au kuolewa na mtu kutokana na uchakarikaji wake kwenye maisha!!!

Kuna wengine wanaoana kwa kuwa wanapendana na kwa dhati ndani ya nyoyo zao wameamua kuishi pamoja!!!!...

Kuna wengine wanaoana kwa statuses!!!


So kuchokana kwenye ndoa kunatokana na msingi au dhumuni la mmoja wa wanandoa....


Huu mjadala ni mpana sana
 
Hapo kwenye 'Kuchokana hutokana na dhumuni la mmoja wa wanandoa' nahisi ni kauli ukungu.

Dhumuni lipi litafanya wanandoa wasichokane?
 
Wanandoa wakipata watoto hamu za mama huporomoka akili hugawanyika mara mbili baba akipata hamu ya sex mama anasubirisha zoezi kwanza hadi mtoto alale au anyonye basi inakuwa hakuna utulivu.

Ndoa ilishafungwa wanandoa ghafla hugubikwa na kujiheshimu ghafla kabisa tendo lililokuwa na utundu na ubunifu mwingi linanyooka kuwa la nidhamu kabisa. Mwanaume hajiachii kwa manjonjo wala uhuru wa ku moan. Mke nae anaanza heshima heshima zisizoeleweka kwenye tendo ghafla linabadilika na kuwa so boring. Wanandoa hapa wajikuta wanakosa ile hali ya kujiachia. Wakichepuka wanahisi huko pembeni wanapata nafasi ya kujiachia kuwa halisi zaidi yaani kuwa more free pale zinaonyeshwa sarakasi zote ambazo nyumbani zilisha shahaulika

Kuchokana hakuepukiki na ieleweke pia mwanamke pia huchoka tendo la ndoa ila hujifanya kuvumilia but ukweli nae anachoka sana na anatamani vitu vipya au hata mtu mpya kuna wale wanaoweza kutafuta nje ili kutii kiu japo sio kwa asilimia kubwa sana ila wapo. Na ikifikia mwanamke akiwa anaonja onja nje huku mume nae anaonja onja nje hawa wawili wakikutana kitandani kwao tendo hufanyika kama vile wanatimiza wajibu tu.

Bado sijaona suluhisho rahisi kwenye kuchokana huku (sex rut)
 
Hapo kwenye 'Kuchokana hutokana na dhumuni la mmoja wa wanandoa' nahisi ni kauli ukungu.

Dhumuni lipi litafanya wanandoa wasichokane?

Ndoa ni taasisi pana sana ambayo inaongozwa na utashi wa muhusika!!!

Na kila mmoja anajua msingi wa ndoa yake umeegamia wapi....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…