Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mchungu bro,asilimia kubwa ya ndoa,hii kitu IPO,Kuna uzi huu
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1458539/
Usibonyeze link kama hauna access na JLW.
Nimelikuta hili swali kule mafichoni, lakini sijaona vyema kujibia kule kwa sababu kwanza mleta uzi ndiyo kwanza namuona kule hivyo inawezekana kabisa hana access ya kule. Lakini nataka tupate maoni ya wengi zaidi.
Mimi sijaoa, nitakachoandika hapa ni masomo ya darasani na field practical tu. Wenye hands on experience wataongeza.
Nitakua naandika kidogo kidogo ili nisiwachoshe maana ni kitu kirefu kidogo.
Baada ya kuoana kuna muda ukifika 'spark' iliyokuepo kati ya mke na mume hupungua au huzima kabisa. Hii hupelekea mawasiliano kua hafifu kati ya wanandoa kisha hupelekea ngono kukosa mvuto kati ya wanandoa.
Kufikia hapa ngono hufanywa kama sehemu tu ya kutimiza wajibu na siyo kama tendo lililosababisha utege kwenda kazini au uwahi kurudi nyumbani. Katika hatua hii ndiyo hutokea kitu kinaitwa 'Sex Rut'.
Ule mguso unapotea, hapa haijalishi unajiamini una utundu kama mcheza porn maarufu kabisa duniani au una mwili mzuri kama the sexiest person you can think of. Ni kwamba nature imechukua nafasi yake na spark kwenu ndiyo imeshakata.
Wanaume wana asilimia kubwa za kuchepuka wakati wowote, mahusiano yawe na furaha yawe na huzuni atachepuka tu. Ila ikifika hapa ndiyo anaweza kuongea na kimada huku mkewe yuko pembeni na haogopi.
Katika kipindi hichi hichi team fisi ndiyo wanatwaa mke wa mtu kiulainiiiiii simply kwakua mwanamke anapenda kusikilizwa (kuonyeshwa anasikilizwa).
Baadhi ya watu wameshafika hatua hiyo wengine ndiyo wanaelekea huko. Kwa ambao hawajafika ngoja tuone kinachopelekea uhamaji wa hisia, kutoka 'Mtu uliyempenda zaidi duniani' mpaka kua 'Hili nalo linanipigia simu linasemaje?? Aaah usumbufu tu'
ndio maana sitaki kuoa kwa sababu ya kukosa iyo hamu ya tendoKuna uzi huu

Ila naiogopa sn hii stage ingawa bado sijaoa.Nadhani hata ukiwa na binti/mshikaji Kwa muda mrefu hali hii utaipata.Ugumu ni suluhisho lake ni lipi?
Tatizo ni kuishi kwa mazoea.. mambo yale yale daily. Ni vema kutoana out walau hata mara moja moja ili kubadilisha mazingira.
NAENDELEA
Ukiniuliza mimi nini hupelekea wanandoa kufikia hapo. Nitajibu kua wamekosea kwenye Uaminifu na Mawasiliano Rafiki.
Kupitia kuaminiana na mawasiliano rafiki ndiyo mwanamke anaweza kumwambia mwanaume "Tangu tuanze kufanya tendo huu ni mwaka wa nne na sijawahi kufika kileleni tunafanyeje?" Na mwanaume asianze kujiwazisha kua mke wangu ameanza kutoka nje au mke wangu marafiki zake wanamharibu.
Kuna baadhi ya mahusiano Mume hajawahi na hawezi kumwambia mkewe (samahani) 'Mke wangu tut01mbane' Mume ataongea lugha za kuficha ficha na wote tunajua hizo lugha hazisisimui na hazishtui.
Kuna mahusiano mengine haijawahi kutokea mwanamke akamwambia mwanaume 'Nataka tut01mbane' mwanaume akikaa kimya hata miezi minne yeye yupo tu hana habari.
Vitu vingine ni vidogo vidogo lakini vina mchango katika kudumaza na hatimaye kuua mahusiano ya watu kwa mfano,
-Kuzoeleka na kukaririwa kwenye namna yako ya kusex na kuanzishha tendo. Mwanamke anajua mume atamshika chuchu, atapeleka mkono kiunoni, lips sikioni, atashuka shingoni.
Atamnyonya chuchu, kitovu, kisha qummer halafu gemu linaanza. Tangu wajuane mpaka leo ni routine hiyo hiyo.
-Kuzoeleka eneo la tendo. Tunajua kunakua na kama notion ya 'Ngono ni kitandani' lakini hapana, kuna maeneo mengine mnaweza kufanya, mnaweza kukodi chumba, mkafanyia nje, mkafanyia baharini, kokote ambapo mnaweza kutii kiu na iwe hivyo siyo mpaka mfike nyumbani.
-Kutojaribu vitu vipya.
Kati ya mwanaume na mwanamke mwanaume hua excited na vitu vipya kuliko mwanaume. Ndiyo maana mwanaume akihadithiwa kuhusu anal sex atakua radhi kujaribu kuliko hata mwanamke.
Hivyo kila mmoja ajitahidi kukeep up na mwenzie introduce new things on bed. Isiwe lazima kua tendo lazima liishie kwa vikojoleo kukutana wakati mwingine vinywa vyetu vinaweza kufanya kazi kubwa kuliko kupigiana kelele.
-Gubu
-Ubishi
-Ujuaji kila kitu
--Usiri
--Kutosikiliza ushauri
-Pretty much anything kitakachoua mawasiliano rafiki baina ya mwenza na mwenza.
Ati nini? Kwahiyo mke na mume wote wachepuke kubadilisha radha sio?[emoji848]ngoja nisome comments za wadau
ila kula mboga ya aina moja kila siku inachosha mkuu
Ukiachilia kwenye ngono upande gani mwingine tunaweza kuurekebisha ili kuepuka hii hali?Kuchokana mapema kuna sababishwa na vitu vingi....lakini kikubwa huwa matarajio yaliyopitiliza baina ya wanandoa!!!....
Wanandoa wanatakiwa wasiwe na ratiba maalumu ya kufanya tendo la ndoa...!!!!
Kule tu kuwa na ratiba maalumu kunaondoa msisimko wote wa kufanya mapenzi....!!!
Unatakiwa mpenzi wako unamfanyia surprise wakati mwingine hata akiwa....kwenye dressing table anajipamba ghafla tu unamvamia!!!!!!.....
Wanadamu wanapenda surprises kwa kuwa husisimua sana!!!!.....
Hakuna mtu ambaye anasisimka kwa jambo ambalo anatarajia kulipata!!!!....
Hakikisha ratiba yako inakuwa roughly na sio ya kutabirika kwa mwenza wako!!!!!
Wengine wanafanya mpaka kwenye bustani huko kwa wenye maeneo makubwa!!!!!....
Wengine kwenye magari yao!!!!!.....
Wanandoa wengi wanakosea kwa kufuata taratibu hii inapelekea mke au mumeo kukukariri na hatimaye kukosa msisimko na wewe!!!!!......
Ikiwezekana hata wiki mbili mnamaliza mpaka mmoja amdai mwenzie!!!!
Inategemea misingi ya ndoa yenu imejengwa kwa nguzo gani..!!!?Ukiachilia kwenye ngono upande gani mwingine tunaweza kuurekebisha ili kuepuka hii hali?
Hapo kwenye 'Kuchokana hutokana na dhumuni la mmoja wa wanandoa' nahisi ni kauli ukungu.Inategemea misingi ya ndoa yenu imejengwa kwa nguzo gani..!!!?
Kuna anaolewa au kuoa mtu kutokana uwezo wa huyo mtu kufanya ngono!!!!
Kuna mtu anaolewa au kuoa kutokana manufaa ya kiuchumi anayopata kwa mwenzi wake!!!!
Kuna mwingine anaoa au kuolewa na mtu kutokana na uchakarikaji wake kwenye maisha!!!
Kuna wengine wanaoana kwa kuwa wanapendana na kwa dhati ndani ya nyoyo zao wameamua kuishi pamoja!!!!...
Kuna wengine wanaoana kwa statuses!!!
So kuchokana kwenye ndoa kunatokana na msingi au dhumuni la mmoja wa wanandoa....
Huu mjadala ni mpana sana
Hapo kwenye 'Kuchokana hutokana na dhumuni la mmoja wa wanandoa' nahisi ni kauli ukungu.
Dhumuni lipi litafanya wanandoa wasichokane?
Tatizo sio mboga tatizo uandaaji wa mboga yenyewengoja nisome comments za wadau
ila kula mboga ya aina moja kila siku inachosha mkuu
mkuu sina cha kuongezea. maelezo yako yanajitoshereza.Funguka zaidi chief