Kilaza wa nani wewe?Kumekuwa na taharuki kuwa mchezo wa awamu ya pili utapigwa Zanzibar lakini sisi kama taifa tunaweza kufanya hivi ili hii Ngoma ipigwe kwa mkapa
kwamba eneo la uwanja wa Amani, hasa sehemu ya pitch, lifanyiwe marekebisho ya muda ili lisiwe tayari kwa matumizi.
Hii itatupa fursa ya kucheza mechi yetu kwenye Uwanja wa Mkapa. Tuko tayari kugharamia maboresho yoyote yatakayohitajika baada ya hapo, ili kuhakikisha uwanja wa Amani unarudi katika hali yake bora.
Wadau hii mbinu mnaionaje
Mimi naona hapo mbinu nzuri nadhani ni ile ya kususa tu. Simba isiposusa kucheza hiyo mechi, aisee itaenda kuliaibisha Taifa.Kumekuwa na taharuki kuwa mchezo wa awamu ya pili utapigwa Zanzibar lakini sisi kama taifa tunaweza kufanya hivi ili hii Ngoma ipigwe kwa mkapa
kwamba eneo la uwanja wa Amani, hasa sehemu ya pitch, lifanyiwe marekebisho ya muda ili lisiwe tayari kwa matumizi.
Hii itatupa fursa ya kucheza mechi yetu kwenye Uwanja wa Mkapa. Tuko tayari kugharamia maboresho yoyote yatakayohitajika baada ya hapo, ili kuhakikisha uwanja wa Amani unarudi katika hali yake bora.
Wadau hii mbinu mnaionaje
Mechi itahanishiwa ZambiaKumekuwa na taharuki kuwa mchezo wa awamu ya pili utapigwa Zanzibar lakini sisi kama taifa tunaweza kufanya hivi ili hii Ngoma ipigwe kwa mkapa
kwamba eneo la uwanja wa Amani, hasa sehemu ya pitch, lifanyiwe marekebisho ya muda ili lisiwe tayari kwa matumizi.
Hii itatupa fursa ya kucheza mechi yetu kwenye Uwanja wa Mkapa. Tuko tayari kugharamia maboresho yoyote yatakayohitajika baada ya hapo, ili kuhakikisha uwanja wa Amani unarudi katika hali yake bora.
Wadau hii mbinu mnaionaje
Berkane ameshawahi gesti nzuri zenji zamaaaaaani. We kodoa macho TU.Anapigwa hukohuko zanzibar
Wanachezea gestiBerkane ameshawahi gesti nzuri zenji zamaaaaaani. We kodoa macho TU.
Suluhu ni mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu HassanKumekuwa na taharuki kuwa mchezo wa awamu ya pili utapigwa Zanzibar lakini sisi kama taifa tunaweza kufanya hivi ili hii Ngoma ipigwe kwa mkapa