SoC01 Suluhu ya kutumia takangumu kama mbolea asilia

Stories of Change - 2021 Competition

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Tatizo la takangumu ni kubwa na lenye changamoto nyingi katika miji yetu... Manispaa nyingi hujaribu kwa kila namna kupambana na hili tatizo lakini juhudi bado hazijakidhi ukubwa wa tatizo.. Zipo kampuni zinazolipwa mamilioni kila mwezi kwa ajili ya kukusanya taka toka majumbani, kwenye masoko , sehemu za kutoa huduma mbali mbali, viwandani na hata maeneo ya biashara.

Kampuni hizi zikishakusanya hizi taka huzipeleka maeneo maalum ya kuhifadhia taka na huko huchomwa moto ambao nao huzua tatizo lingine la uchafuzi wa mazingira na madhara mengine ya kiafya kuazia kwenye ngozi, mfumo wa upumuaji na hata macho, kwakuwa taka hizi hubeba kila aina ya uchafu na mabaki na hazichambuliwi na kutengwa kulingana na makundi yake.

Natambua wazi kuna taka laini na taka hatarishi lakini hizi tatizo lake si kubwa kwakuwa zimewekewa utaratibu unaofanya kazi vizuri.

Kwenye taka laini kwa muktadha huu vinyesi, mikojo na maji machafu kuna madimbwi maalum ya kwenda kumwaga huko na kuna magari maalum kwa shughuli hiyo.. Na kuhusu taka hatarishi hasa zinatokoka kwenye mahospitali, viwandani, na kwenye maabara mbalimbali hizi nazo hukusanywa na magari maalum na kwenda kuchomwa kwenye matanuru maalum yajulikanayo kama incinerators..!

Sasa je unatambua ya kwamba unaweza kusaidia kutatua uchafuzi wa mazingira na hewa kwa kuzigeuza taka ngumu kuwa mbolea asilia, huku ukiongeza vipato kwa watu na kutoa ajira?

  • Ajira kwenye ukusanyaji
  • Ajira kwenye uchakataji
  • Ajira kwenye usambazaji
  • Ajira kwenye uuzaji na ununuzi
  • Ajira kwenye matangazo
  • Ajira kwenye vifungashio
  • Ajira kwa wenye vyombo vya usafiri
  • Ajira kwa wenye maghala
  • Ajira kwa wauza chakula na vinywaji
Nknk

Kama taifa tunaweza kuokoa mamilion ya fedha za kigeni na kuokoa uharibifu wa mazingira na kutunza ardhi yetu kama tukiamua kupitia mashirika, vikundi vya wajasiriamali na hata mtu mmoja mmoja kuwekeza kwenye mradi wa kuchakata taka ngumu na kuzigeuza mbolea asilia

Kinachotakiwa kufanyika ni hiki.. Yale maeneo yote yaliyotengwa kwa ajili ya kutupa taka ngumu ..yanaweza kugeuzwa na kuwekwa viwanda vya mbolea, malighafi ya chuma na malighafi ya plastiki nk.. Badala ya kuzichoma moto taka na kusababisha uchafuzi wa mazingira na athari za kiafya..!

Viwanda hivi vikoje?
Unakuwa na mtambo wa kutenganisha taka kutokana na asili yake
Zinapofika dample humwagwa kwenye kinu kikubwa...kinu hiki kinakuwa na sumaku na mikanda inayotembea ( rolling pillars)

Sumaku itanasa vitu vyote vyenye asili ya chuma na bati na kuvidondosha kwenye mkanda wake na hivi vitapelekwa moja kwa moja mpaka sehemu yake..huko vinaweza kuuzwa kama chuma chakavu ama vikachakatwa na kuuzwa kama malighafi ya kutengenezea nondo nk

Mkanda w pili utakuwa na sensor za kuhisi(detect) vitu vyote vyenye asili na plastic..hivi navyo vitaelekezwa kwenye mkanda wake mpaka kwenye hifadhi yake(depositer tank) hapo vinaweza kuyeyushwa na kuwa malighafi ya kutengeneza vitu mbalimbali vya plastic

Mkanda wa tatu huu utakuwa mkanda mkuu ama mkanda jumuishi.. Huu utabeba takangumu zote zisizo na bati, chuma wala plastiki. Hizi zitasafirishwa mpaka kwenye hifadhi yake(deposit tank) na kufanyiwa mchakato wa kuzisaga ... Hapo unaweza kuongeza maji na kuziozesha kisha kuzikausha ama ukaziacha na kuzipaki tayari kwa matumizi ya kwenye mimea mbalimbali

Kwa namna hiyo taka ngumu zitakuwa malighafi hitajika tofauti na ilivyo sasa..huku mazingira yakitunzwa na kuokoa gharama kubwa za kuziteketeza na bado tukiokoa fedha za kigeni kwa kuacha kuagiza mbolea nje ya nchi, kuongeza wigo wa ajira na kutoa nafasi mpya za utafiti mpya kwenye nyanja za mbolea isiyo na sumu kwa faida ya kizazi kijacho.
 
Upvote 40
Hongera Kaka, hiyo boiler inafanyaje kazi mkuu, urafiki wake na mazingira ukoje?
Nu rahisi sana
1. Unaweka tairi kwenye feeder ambayo inazipeleka moja kwa moja kwenye boiler
2. Kwenye boiler ambayo ni airtight chini kuna burners zinazopewa nguvu na fan ambapo zinaweza kuwa kuanzia nne kulingana na ukubwa wa boiler.. Hizo burner zinawaka kwa kutumia diesel tunayozalisha wenyewe na zina uwezo wa kuzalisha moto wenye nyuzi joto 800+
3. Boiler ambayo inazunguka taratibu kwa masaa yasiyopungua 12 zina sensor ambazo hufunguka automatically na kuruhusu mvuke kutoka na kuingia kwenye mfumo wa upozaji(condensation)
4. Mvuke hupita kwenye mabomba mfumo kama wa radiator yaliyopita kwenye maji..mvuke uliopoa hugeuka kuwa diesel
5. Hiyo diesel husafirishwa mpaka kwenye tank no 1 kisha hufanyiwa mchakato wa purification na kuingizwa kwenye matanki ya kuhifadhia tayari kwa kuuzwa...!

Haichafui mazingira kwakuwa moshi utokao kwenye boiler wakati wa kuchoma tairi hupitishwa kwenye matanki yenye maji kama matatu hivi..hivyo mpaka ukiruhusiwa kutoka nje unakuwa kama mvuke tuu
 
Tatizo la takangumu ni kubwa na lenye changamoto nyingi katika miji yetu... Manispaa nyingi hujaribu kwa kila namna kupambana na hili tatizo lakini juhudi bado hazijakidhi ukubwa wa tatizo.. Zipo kampuni zinazolipwa mamilioni kila mwezi kwa ajili ya kukusanya taka toka majumbani, kwenye masoko , sehemu za kutoa huduma mbali mbali, viwandani na hata maeneo ya biashara.

Kampuni hizi zikishakusanya hizi taka huzipeleka maeneo maalum ya kuhifadhia taka na huko huchomwa moto ambao nao huzua tatizo lingine la uchafuzi wa mazingira na madhara mengine ya kiafya kuazia kwenye ngozi, mfumo wa upumuaji na hata macho, kwakuwa taka hizi hubeba kila aina ya uchafu na mabaki na hazichambuliwi na kutengwa kulingana na makundi yake.

Natambua wazi kuna taka laini na taka hatarishi lakini hizi tatizo lake si kubwa kwakuwa zimewekewa utaratibu unaofanya kazi vizuri.

Kwenye taka laini kwa muktadha huu vinyesi, mikojo na maji machafu kuna madimbwi maalum ya kwenda kumwaga huko na kuna magari maalum kwa shughuli hiyo.. Na kuhusu taka hatarishi hasa zinatokoka kwenye mahospitali, viwandani, na kwenye maabara mbalimbali hizi nazo hukusanywa na magari maalum na kwenda kuchomwa kwenye matanuru maalum yajulikanayo kama incinerators..!

Sasa je unatambua ya kwamba unaweza kusaidia kutatua uchafuzi wa mazingira na hewa kwa kuzigeuza taka ngumu kuwa mbolea asilia, huku ukiongeza vipato kwa watu na kutoa ajira?

  • Ajira kwenye ukusanyaji
  • Ajira kwenye uchakataji
  • Ajira kwenye usambazaji
  • Ajira kwenye uuzaji na ununuzi
  • Ajira kwenye matangazo
  • Ajira kwenye vifungashio
  • Ajira kwa wenye vyombo vya usafiri
  • Ajira kwa wenye maghala
  • Ajira kwa wauza chakula na vinywaji
Nknk

Kama taifa tunaweza kuokoa mamilion ya fedha za kigeni na kuokoa uharibifu wa mazingira na kutunza ardhi yetu kama tukiamua kupitia mashirika, vikundi vya wajasiriamali na hata mtu mmoja mmoja kuwekeza kwenye mradi wa kuchakata taka ngumu na kuzigeuza mbolea asilia

Kinachotakiwa kufanyika ni hiki.. Yale maeneo yote yaliyotengwa kwa ajili ya kutupa taka ngumu ..yanaweza kugeuzwa na kuwekwa viwanda vya mbolea, malighafi ya chuma na malighafi ya plastiki nk.. Badala ya kuzichoma moto taka na kusababisha uchafuzi wa mazingira na athari za kiafya..!

Viwanda hivi vikoje?
Unakuwa na mtambo wa kutenganisha taka kutokana na asili yake
Zinapofika dample humwagwa kwenye kinu kikubwa...kinu hiki kinakuwa na sumaku na mikanda inayotembea ( rolling pillars)

Sumaku itanasa vitu vyote vyenye asili ya chuma na bati na kuvidondosha kwenye mkanda wake na hivi vitapelekwa moja kwa moja mpaka sehemu yake..huko vinaweza kuuzwa kama chuma chakavu ama vikachakatwa na kuuzwa kama malighafi ya kutengenezea nondo nk

Mkanda w pili utakuwa na sensor za kuhisi(detect) vitu vyote vyenye asili na plastic..hivi navyo vitaelekezwa kwenye mkanda wake mpaka kwenye hifadhi yake(depositer tank) hapo vinaweza kuyeyushwa na kuwa malighafi ya kutengeneza vitu mbalimbali vya plastic

Mkanda wa tatu huu utakuwa mkanda mkuu ama mkanda jumuishi.. Huu utabeba takangumu zote zisizo na bati, chuma wala plastiki. Hizi zitasafirishwa mpaka kwenye hifadhi yake(deposit tank) na kufanyiwa mchakato wa kuzisaga ... Hapo unaweza kuongeza maji na kuziozesha kisha kuzikausha ama ukaziacha na kuzipaki tayari kwa matumizi ya kwenye mimea mbalimbali

Kwa namna hiyo taka ngumu zitakuwa malighafi hitajika tofauti na ilivyo sasa..huku mazingira yakitunzwa na kuokoa gharama kubwa za kuziteketeza na bado tukiokoa fedha za kigeni kwa kuacha kuagiza mbolea nje ya nchi, kuongeza wigo wa ajira na kutoa nafasi mpya za utafiti mpya kwenye nyanja za mbolea isiyo na sumu kwa faida ya kizazi kijacho.

Mkuu ninashida kidogo ila nashindwa kuku dm
 
Inawezekana ila siyo kwa NEMC yetu yenye primitive management.
 
Alafu Mkuu tangu ukabidhi ofisi ya Babu Msata,naona unakuja vizuri maana zamani ulikuwa unatutisha na stori za ndumba[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1752][emoji1752][emoji1752]
 
Hivi kwanini kwenye kura lazma mtu aombe [emoji848]...[emoji16][emoji38][emoji38]
Afu waomba kura ni lazma wawe wanyonge ...teh...teh
Yeah... ZINGATIA neno ombi/maombi..ni kitu cha hiari...ana uamuzi wa kukupa ama la.. Na si unyonge bali ni unyenyekevu sawa tu unapoenda Mbele za Mungu au mizimu
Naomba kura yako Tomaa Mireni [emoji1545][emoji1752]
 
nimecheki tu kichwa cha habari,nikaona tayar maelezo yanajitosheleza..kura yangu umeipata .
 
Taka kama hizi ni malighafi tosha kabisa kwa mradi husika ziko kila mahali na za kutosha kabisa.. Ni utaratibu tu wa kuzifanya zifike maeneo husika kwa ajili ya uchakataji
Screenshot_20210814-090255.jpg
 
Back
Top Bottom