Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kwa kweli Haji Manara na GSM kama wanataka kuishi kwa amani na kama wanataka kuwajua vizuri mashabiki na wanachama wao basi wakose ubingwa, maana haiwezekani timu iongoze ligi tangu mwaka jana zinabakia mechi 8 tunaanza kudondosha pointi kizembe namna hii, GSM wamuulize Lloyd Nchunga atawaambia vizuri kuhusu mashabiki wa Yanga, Manara ndugu yangu, umeingia kwenye 18 za wana Yanga, hao jamaa wakikosa ubingwa jiandae kuhama nchi maana nawajua watu wa Yanga.
Gemu yenu na Dodoma Jiji sio ya kawaida, Dodoma ya Masudi Juma imebadilika, kazi kwenu.
Gemu yenu na Dodoma Jiji sio ya kawaida, Dodoma ya Masudi Juma imebadilika, kazi kwenu.