Suluhu ya wananchi kupata wawakilishi wao badala ya wale wa vyama, 'Mgombea Binafsi' ni LAZIMA

Suluhu ya wananchi kupata wawakilishi wao badala ya wale wa vyama, 'Mgombea Binafsi' ni LAZIMA

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Vyama vya siasa vimepewa mamlaka makubwa kikatiba kuliko Wananchi katika kuchagua wawakilishi wao, ingawaje wana uwezo wa kutowachagua hao wateule wa vyama. Sababu ni kupindua maamuzi ya baadhi ya wananchi wakati wa kura za maoni kwa vigezo ambavyo wananchi hawapewi mrejesho, na kutopewa taarifa za kutosha.

Njia pekee ya kuimarisha demokrasia ni katiba kutoa nafasi kwa wagombea binafsi (independent candidates) katika ngazi zote. Njia ya pili ni kuwa na wananchi wenye elimu bora na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo.
 
Back
Top Bottom