Suluhusho pekee la kupatikana amani duniani ni nchi zote kufata sheria za Kiislamu, uovu utakoma, upendo utaongezeka

Suluhusho pekee la kupatikana amani duniani ni nchi zote kufata sheria za Kiislamu, uovu utakoma, upendo utaongezeka

Wadau hamjamboni nyote?

Mimi ni muumini wa dini ya Ukristo lakini nasema kutoka sakafu ya moyo wangu kuwa sheria za Kiislamu ndiyo suluhisho pekee na lakudumu la kupatikana kwa amani ya kudumu duniani kote.

Matatizo makubwa tunayopitia duniani yanatokana na kudharau matumizi ya sheria za Kiislamu badala yake kutumia sheria za kibabeli. Huo ndiyo ukweli ulio sahihi.

Karibuni tujifunze
Roli modo Somalia
 
Sasa ndugu yangu kwani kule pakistani huwa yale mabomu yanapigwa ili kupigana na nani? Au kule Bangladesh kwa sheikh Hasina? Wale sio Waislamu maana unaweza kusema mashariki ya kati tatizo ni wazungu. Na kule Indonesia je? kwani wao mpaka kunatokea mabomu shida ni nini?
 
Baada ya kuisha kwa iliyokuwa ikiitwaa vita baridi mwanzoni mwa mika ya 90s, aliyekuwa Rais wa Marekani wakati huo George Walker Bush alinukuliwa akisema. Nanukuu.
Baada ya Ukomunisti kushindwa, na urusi kusambaratika, adui mkubwa aliyebakia duniani kwa sasa ni Uislam. mwisho wa kunukuu.

Kwa maoni yangu. Alikuwa sahihi kwa % nyingi.
 
Back
Top Bottom