Suma G wa vituko uswahilini

Suma G wa vituko uswahilini

mi nikajua wewe ndo umetuletea tumuone....kumbe na wewe unamtafuta...
 
Hivi nani hua anawafundisha hesabu za kijinga namna hii, kama ni rahisi hivi na wewe nenda ukawe mkaanga viazi basi
Katoa mfano tu mkuu kama sehemu ya kuwatia moyo wale wanaoona kazi ya kukaanga viazi sio kazi, kwani kuna ambao wanamaliza gunia moja mpaka gunia mbili hasa waliopata sehemu nzuri...
 
We ulijua wote tunamajumba ya kifahari, tumezaliwa Familia bora, tumesoma sana na tuna kazi nzuri?
Situmii karatasi wala pen mi nilikimbia umande hata kusoma na kuandika sijui lakini wanaonitegemea wanaenda chooni, hawavai nguo zenye viraka, Wana sehemu ya kuita nyumbani kwa hesabu zangu za kichwani tu zisizo la darasa hata moja.
Hujaelewa nilichoandika!
 
Suma G nimeishi nae sana kitaa Karakata miaka ya 1997-2006

Jamaa ni choka kuliko maelezo,namjua vizuri sana na yeye ananijua vizuri sana.Soggy dog alikuwa anambeba mpaka chumba cha kulala.

Maisha hayana formula,ukimuona mwambie Criss anamsalimia.

is this what u can say to your home boy?

mchawi wewe
 
Anza kujielewa mwenyewe kabla hujahitaji nikuelewe.
Rudi shule Mkuu, usitake ligi na mie! Akuuu huu mwaka ndo kwanza unaanza!

Huwez weka mahesabu ya karatasi utake wote waamini ulichoandika! Kubali kukosolewa utasonga mbele.

Kwakuwa hukunielewa nimeamua kukuelewesha Kwa lazima!
 
Hakika aliyetuloga waTz alituweza.

Yaani wewe unashangaa mtu kujiajiri?
Unajua kiasi anachoingiza kwa mwezi?

Yawezekana anakushinda hata wewe na kazi yako hiyo mkuu.
Usishangae mkuu.
 
Rudi shule Mkuu, usitake ligi na mie! Akuuu huu mwaka ndo kwanza unaanza!

Huwez weka mahesabu ya karatasi utake wote waamini ulichoandika! Kubali kukosolewa utasonga mbele.

Kwakuwa hukunielewa nimeamua kukuelewesha Kwa lazima!
Wapi nimetumia maneno ya kulazimisha mtu akubaliane na maoni yangu?
Mbona unatumia nguvu kubwa sana kujibu hoja isiyojibika na kuishia kumjibu mtu usiyemfahamu kwa kumtusi?
Wewe kama msomi na mwenye faida kwa wanaokutegemea ungejibu hoja na sio kunitusi aisee, nemekudharau sana.
Jielewe mwenyewe kwanza ndipo uhitaji nikuelewe.
 
Watu bado hamuelewi tu kwamba hizo ajira zisizo rasmi ndizo zenye pesa nyingi kuliko zilizo rasmi?
Hebu chukulia ananunua gunia la viazi kwa elfu 35 na mafuta ya elfu 20 anakaanga na kuuza hadi jioni anamaliza gunia lote anajikuta Ana Laki moja na nusu au na ishirini hivi (150/120) ukija kutoa hapo unakuta anabakia na zaidi ya elfu 50 mfukoni mwake.
Chukua hiyo pesa izidishe Mara 30(mwezi) utachokipata Njoo hapa tuambie ni mfanyakazi wa level gani analipwa pesa hiyo kama mshahara wa mwezi, utagundua kumbe maofisini tunapotezeana Muda tu.
Tatizo lako umefanya tathmini isyo kamilifu.

Hujaweka possible risks na challenges ambazo ni nyingi mno. Kama kuoza kwa viazi, kuharibika kwa mayai ya kumix na chips, kulipia eneo la biashara, kubadilika kwa kodi ya tozo n.k

Hata hivyo, nakubaliana nawewe kuwa hizo biashara zinalipa zaidi kuliko wakaao maofisini.

Good day...
 
Rudi shule Mkuu, usitake ligi na mie! Akuuu huu mwaka ndo kwanza unaanza!

Huwez weka mahesabu ya karatasi utake wote waamini ulichoandika! Kubali kukosolewa utasonga mbele.

Kwakuwa hukunielewa nimeamua kukuelewesha Kwa lazima!
Akuuu ni nini mkuu?
 
Tatizo lako umefanya tathmini isyo kamilifu.

Hujaweka possible risks na challenges ambazo ni nyingi mno. Kama kuoza kwa viazi, kuharibika kwa mayai ya kumix na chips, kulipia eneo la biashara, kubadilika kwa kodi ya tozo n.k

Hata hivyo, nakubaliana nawewe kuwa hizo biashara zinalipa zaidi kuliko wakaao maofisini.

Good day...
Babu kila kitu kina risk zake hata kumtia mwanamke mimba ni risk pia sema mimi nime "comment" tu ili kuokoa fikra zinazowatawala watu kwamba hizo kazi ndogo ndogo hazina maana la sivyo ili kuelezea kinaga ubaga kama unavyopendekeza basi ianzishwe "thread" maalumu kwa ajili ya kutoa somo kitu amabacho naamini kilishafafanuliwa humu JF na kinaendelea kufafanuliwa sana lakini watu hawataki kuelewa.
Ahsante kwa mawazo yako JF-GT mwenzangu.
 
Mkuu siku nyingine ukipita pale mpiga na tupicha tuchache tumuone?
 
Unashangaa mtu kuuza viazi...
Hao wanao uza viazi wako vzuri tu kuliko Hata wee mvaa tai kila siku....wanaingiza kipato kizuri tu
Kazi ni kazi mbaya kuiba...
Acha dharauuu

Ova
 
Watu bado hamuelewi tu kwamba hizo ajira zisizo rasmi ndizo zenye pesa nyingi kuliko zilizo rasmi?
Hebu chukulia ananunua gunia la viazi kwa elfu 35 na mafuta ya elfu 20 anakaanga na kuuza hadi jioni anamaliza gunia lote anajikuta Ana Laki moja na nusu au na ishirini hivi (150/120) ukija kutoa hapo unakuta anabakia na zaidi ya elfu 50 mfukoni mwake.
Chukua hiyo pesa izidishe Mara 30(mwezi) utachokipata Njoo hapa tuambie ni mfanyakazi wa level gani analipwa pesa hiyo kama mshahara wa mwezi, utagundua kumbe maofisini tunapotezeana Muda tu.
Kwaio kuanzia jumatatu hadi jumapili flow ya wateja ipo constant sio? hata kwenye book keeping ya form one kuna kitu kinaitwa stock, goods carried forward kwa man kwamba huwezi kua na stock ikaisha yote completely bali hua inapungua kiasi na wewe unajazilizia hesabu hizo za kuzidisha mara 30 ziko applicable kwenye kuajiriwa tu sio kujiajairi
 
Wasomi wa Tanzania mna tabu sana na kwa
sababu hiyo mnatuletea tabu hata sisi tusiosoma.
Mfano Jana mauzo yangu ni 60elfu, leo 45elfu, kesho 70elfu,keshokutwa 30elfu,kesho yake tena 20elfu, na ifuatayo 50elfu,halafu tena 80elfu kwa siku inayofuata unadhani wastani wangu utakuwaje?
Hivi hapo nikisema wiki hii kila siku nimepata 50elfu nitakosea?

Halafu ni ujinga kuchukua mawazo ya mtu na kuyafanyia kazi bila kuyanyambua na wewe ukapata ya kwako.
 
Suma G yupo hapa mjini ingawa sio safi ila uyo uliemuona anakaanga chips umemfananisha swahiba.
 
Back
Top Bottom