Jamani haya maisha ya biashara/kujiajiri we acha tu.
Mm ni fundi simu hpa kariakoooo, ila nimemaliza ka chuo TPSC TANGA MWAKA 2016, nipo zangu kariakoooo najishughulisha ufundi na ikifika saa kumi jioni natoka nje nauza POPCORN maeneo haya ya stand ya gerezan. Licha ya kufungua jioni lakini nimekosa sana 25,000 nikijumlisha na masuala ya ufund najikuta kwa siku narud na 70,000, siku nyingine ufund peke yake napata 100,000.
Mwaka jna niliomba kazi pale urafiki ubungo mambo ya MAsjala(RECORDS MANAGEMENT) maaana ndio nimesomea na mshahara 300,000 per month sikufanya hata sikumoja nimeacha naendelea na shughuli zangu, najua hata nikitumia 100,000 leo sina tress yoyote ile, wew jinad kwa kuajiliwa