sumatra acheni ukiritimba.......

sumatra acheni ukiritimba.......

Uhembe

Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
97
Reaction score
36
suala la kupatiwa leseni ya usafirishaji limekuwa issue.
unapeleka document zinazotakiwa bado unazungushwa ile mbaya.

imagane wizara ya kazi unachukua wiki 1, sumatra unachukua wiki mbili au tatu.
muda wote huu kazi zinalala..
biashara zitaenda vipi?
au ndio maisha bora kwa mtanzania ?

Je tutafika kweli.......?
 
Back
Top Bottom