Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Haya ndiyo mambo yanayofanya wananchi wanaiona utofauti wa Marais. MAMLAKA mbalimbali za Serikali zinaifanya serikali ionekane haifanyi kazi yake. Watu wanapoona Kunapwaya ndipo huanza kumzungumzia mwendazake. Maskini ya Mungu wanaozorotesha kazi ni wapumbavu fulani pale Ratra.
Haiwezekani vituo vinatambulika na magari, daladala, bajaji, pikipiki zikajipangia bei.
Haiwezekani vituo vinatambulika na magari, daladala, bajaji, pikipiki zikajipangia bei.