Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
DuuhHaya ndiyo mambo yanayofanya wananchi wanaiona utofaut wa Marais. MAMLAKA mbalimbali za serikali zinaifanya serikali ionekane haifanyi kazi yake. Watu wanapoona Kuna pwaya ndipo huanza kumzungumzia mwenda zake. Maskin ya Mungu wanaozorotesha kazi ni wapumbavu flan pale Ratra.
Haiwezekani vituo vinatambulika na magari, daladala, bajaji, pikipiki zikajipangia bei.
Hapana. Jela Tena mkuu!Mkuu kuepuka makasiriko tembea tu kwa mguu
Mbona ndiyo ghalama ya Tegeta hiyo, tena huyo kapanda gari ya SegereaWao Ratra watoe mwongozo waone daladala zikipaki. Nimeshuhudia mizozo mingi kwenye madaladala, bajaji. Sehemu iliyokuwa nauli 500 imekuwa 700. Iliyokuwa 1600 imeenda 2000. Pikipiki kutoka 1000 Kwenda 1500
What a jerk.
Wapuuzi Sana, nimeona tukio Mzee mmoja akiwa riverside kwenda tegeta Kwa Tsh850/-
Kale kakonda na kanakaa na 50/- 50/- so ukitoka 1000/- utapokea 150 change,is okay ikiwa ni Halali..
Waweke vipeperushi vya bei wherever possible